Kwanini wanaCCM wengi hawajafurahi au kuridhika na uteuzi wa Tulia kuwa Spika wa Bunge?

Hongera Mbunge wa Mbeya Mjini kwa kupitishwa kugombea nafasi ya uspika kupitia Chama Tawala.
-Caucas ya wabunge wa CCM mjengoni wataridhia jina lako kuwa mgombea wa kiti cha uspika wa Bunge letu na umeshapita kuwa Spika wetu.
Ushauri
1). Simamia mhimili wa Bunge,kwa weledi,hekima na busara,na kwa kufuata Sheria, kanuni na taratibu zilizowekwa.
2). Mhimili wa Bunge, ndiyo wawakilishi wa wananchi,wabunge wajadili miswada kwa nguvu za hoja badala ya hoja za nguvu, wabunge wawasemea wapiga kura wao badala ya kuwa Bunge la mipasho (baina ya vyama).
3). Wabunge wapewe fursa ya kujadili miswada kwa uwazi , staha na vikao vya Bunge virushwe moja kwa moja kwenye vyombo vya habari,kwa manufaa ya wapiga kura wenu.
4). ushirikiano na mshikamano wa wabunge wakati linakuja suala kitaifa tuweke vyama kando.
5). Bunge liwe linaihoji serikali ahadi na utekelezaji wa Miradi au matumizi ya kawaida bila woga na hofu,(eyes on,hands off) acheni muhali.
Rais na viongozi wa ngazi ya juu, wanaangushwa na watendaji wa kwenye taasisi mbalimbali, kamati mbalimbali za Bunge zifuatie kwa Karibu sekta na kutoa ushauri unaojenga.
 
Ulikutana nao wapi wakakuambia hivyo?

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Ww ndiye haujatulia, yaani tumchague sisi alafu tumkatae sisi? Unaota we living thing
 
Kama kweli hawajaridhika nae wasipitishe jina lake bungeni, kinyume na hapo ni wanafiki tu wanaojali matumbo yao wanaomuogopa mwenyekiti wao.
 
Subiri, naibu speaker lazime aweu muumini na huenda kutoka visiwa vya nchi jirani
 
Huo ushauri utazingatiwa?
 
3.
 
Hujafurahi wewe na na wahafidhina wenzako, wengine tuko poa.
 
No:3 CCM wabaguzi. Asikudanganye mtu. Wafitini sana. Ndimimbili.
 
Hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kumfurahia Tulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…