Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
😂😂😂 nipe maua yanguHili ndo jibu sahihi pekee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂 nipe maua yanguHili ndo jibu sahihi pekee
Naandaa file la kupanda nalo kortini haiwezekani mahaba yao yatuponze wengine 🤣🤣🤣Tuwashitaki
Kwa sababu Mungu huyo hayupo.Nowadays naona Uzi wa kupinga uwepo wa Mungu zimekuwa nyingi sana.
The best way ni kufanya yale unayo weza, usiumize kichwa na kupata stress kwa mambo ambayo huwezi kuyatimiza.Wakuu sorry
Labda nimejizima data, Ila sielewi haya maisha. Baada ya kupata CHANGAMOTO, nimejiuliza Mambo mengi
Kwanini wanadamu tupo Duniani, ili iweje, wakati tunasubiri kifo tu
Dah
Mungu huyo anatafutwa kwani kapotea?Kila aliyepo Duniani ni kwa kusudi maalumu la Mungu muumba wa nchi.
Kwasababu ya kutotii na dhambi kutomtafuta Mungu,
Wengi wetu tumeshindwa na matokeo yake hatujui hatma zetu.
Kwani hapo amepingaje uwepo wa Mungu kwa kuuliza swali hilo?Nowadays naona Uzi wa kupinga uwepo wa Mungu zimekuwa nyingi sana.
Hajapotea, ila unavyohangaika kutafuta pesa ndio na nguvu hizo hizo Tena na zaidi umtafute yeye...Mungu huyo anatafutwa kwani kapotea?
Kwa maswali hayo, ndo mwanzo wa Atheism.Kwani hapo amepingaje uwepo wa Mungu kwa kuuliza swali hilo?
Huyo soon tunambatiza kuwa mtoto wa YESU...Kwa maswali hayo, ndo mwanzo wa Atheism.
Bro we mwenyewe si atheist, na unalijua hilo vizuri.
Aisee. Tuishie hapohapo.Kwa sababu Mungu huyo hayupo.
Mungu huyo Angekuwepo Asinge tuacha kwenye sintofahamu kubwa na utata wa kufahamu uwepo wake.
Kwani akijitokeza na afahamike na kujulikana yupo inapunguza nini yeye kuwa Mungu?
Anacho jifichia huko ni nini?
Kwamba hataki, Viumbe alivyo viumba mwenyewe vimjue?
Hapana.Kwa maswali hayo, ndo mwanzo wa Atheism.
Bro we mwenyewe si atheist, na unalijua hilo vizuri.
Kwa kweli na iwe hivyo.Huyo soon tunambatiza kuwa mtoto wa YESU...
Mwambie aombe Toba na Rehema Kila siku kwa Imani...Aisee. Tuishie hapohapo.
Sawa mkuu.Hapana.
Hapa umefanya logical fallacy inaitwa "non sequitur".
Unaunganisha mambo ambayo hayana kiunganishi.
Hata mtu anayeamini uwepo wa Mungu anaweza kuhoji kwa nini tupo hapa, maana ya maisha ni nini, etc.
Umeunganisha mambo ambayo hayana kiunganishi kwa kuhitimisha kwamba hili swali ni la ma atheist tu.
Tupo ili tule mbususu, then tuzeeke na kufa na kutupwa motoniWakuu sorry
Labda nimejizima data, Ila sielewi haya maisha. Baada ya kupata CHANGAMOTO, nimejiuliza Mambo mengi
Kwanini wanadamu tupo Duniani, ili iweje, wakati tunasubiri kifo tu
Dah
Ni kweli, tatizo ni, Atakubali?Mwambie aombe Toba na Rehema Kila siku kwa Imani...
Mbona Mungu anaonekana..
Tatizo amesema hakai mahali pachafu...