Kwanini wanadamu tupo Duniani?

Kwanini wanadamu tupo Duniani?

Nowadays naona Uzi wa kupinga uwepo wa Mungu zimekuwa nyingi sana.
Kwa sababu Mungu huyo hayupo.

Mungu huyo Angekuwepo Asinge tuacha kwenye sintofahamu kubwa na utata wa kufahamu uwepo wake.

Kwani akijitokeza na afahamike na kujulikana yupo inapunguza nini yeye kuwa Mungu?

Anacho jifichia huko ni nini?

Kwamba hataki, Viumbe alivyo viumba mwenyewe vimjue?
 
Wakuu sorry

Labda nimejizima data, Ila sielewi haya maisha. Baada ya kupata CHANGAMOTO, nimejiuliza Mambo mengi

Kwanini wanadamu tupo Duniani, ili iweje, wakati tunasubiri kifo tu

Dah
The best way ni kufanya yale unayo weza, usiumize kichwa na kupata stress kwa mambo ambayo huwezi kuyatimiza.

Epuka stress ishi kwa upendo wakati ukisuburi kifo chako!
 
Fikiria pia kama kifo kisinge kuwepo,

Watu na wanyama si tungekuwa wengi sana kiasi kwamba kusingekuwa na Nafasi ya kuishi na kufanya makazi.

Yani tungekuwa tumejazana kama utitiri kiasi kwamba kusingekuwa hata na nafasi ya kupita au kujenga barabara.

Kila Kiumbe Lazima Kife, Ili Kiumbe kingine kipate Nafasi ya kuishi.

Rejea kifo cha Simba Bob junior aliye uwawa na simba wenzake ili wapate utawala, Sasa je Asingekufa hao simba wenzake wange ishi vipi?
 
Kila aliyepo Duniani ni kwa kusudi maalumu la Mungu muumba wa nchi.

Kwasababu ya kutotii na dhambi kutomtafuta Mungu,

Wengi wetu tumeshindwa na matokeo yake hatujui hatma zetu.
Mungu huyo anatafutwa kwani kapotea?
 
Kwa sababu Mungu huyo hayupo.

Mungu huyo Angekuwepo Asinge tuacha kwenye sintofahamu kubwa na utata wa kufahamu uwepo wake.

Kwani akijitokeza na afahamike na kujulikana yupo inapunguza nini yeye kuwa Mungu?

Anacho jifichia huko ni nini?

Kwamba hataki, Viumbe alivyo viumba mwenyewe vimjue?
Aisee. Tuishie hapohapo.
 
Kwa maswali hayo, ndo mwanzo wa Atheism.
Bro we mwenyewe si atheist, na unalijua hilo vizuri.
Hapana.

Hapa umefanya logical fallacy inaitwa "non sequitur".

Unaunganisha mambo ambayo hayana kiunganishi.

Hata mtu anayeamini uwepo wa Mungu anaweza kuhoji kwa nini tupo hapa, maana ya maisha ni nini, etc.

Umeunganisha mambo ambayo hayana kiunganishi kwa kuhitimisha kwamba hili swali ni la ma atheist tu.
 
Tumjue, tumpende, tumtumikie na mwisho tufike kwake....over
 
Huyo soon tunambatiza kuwa mtoto wa YESU...
Kwa kweli na iwe hivyo.
Wanapaswa waijue nguvu kuu ya Yesu Kristo. Waionje uweza wake wa kuokoa, kulinda na kuponya. Dini zimewabrainwash watu. Yesu anahusika na wokovu tu.
 
Binadamu wote, wangetafakari na kujiuliza hilo swali, wangejua hapa duniani ni sehemu ya kupita tu; majivuno, kiburi, kumtesa mtu mwingine kwa kumpa maslai madogo, kumsababishia mwingine kifo n.k haya yote yasingekuwepo.

Ukipata nafasi ya kula bata, we kula tu; kufikisha miaka 80 ni bahati nasibu, wengi kabla ya kufikia huo umri huwa wanakufa.​
 
Hapana.

Hapa umefanya logical fallacy inaitwa "non sequitur".

Unaunganisha mambo ambayo hayana kiunganishi.

Hata mtu anayeamini uwepo wa Mungu anaweza kuhoji kwa nini tupo hapa, maana ya maisha ni nini, etc.

Umeunganisha mambo ambayo hayana kiunganishi kwa kuhitimisha kwamba hili swali ni la ma atheist tu.
Sawa mkuu.
Sitaki niingie na wewe head to head kwasababu mi sio mwanafalsafa, I am just a scientist.
 
Back
Top Bottom