Kwanini wanadamu tupo Duniani?

Kwanini wanadamu tupo Duniani?

The best way ni kufanya yale unayo weza, usiumize kichwa na kupata stress kwa mambo ambayo huwezi kuyatimiza.

Epuka stress ishi kwa upendo wakati ukisuburi kifo chako!
♥️
 
Sawa mkuu.
Sitaki niingie na wewe head to head kwasababu mi sio mwanafalsafa, I am just a scientist.
Hapa ni simple logic tu, ambayo hata kwenye sayansi ipo.

Huhitaji kutoamini uwepo wa Mungu ili kuhoji kwa nini tupo duniani.

Hata kwenye dini watu wenye imani ya Mungu wamehoji sana maana ya maisha ni nini.

Kwa hivyo ukisema hii ni hoja ya atheists tu, unajionesha hujui falsafa wala sayansi, kwa sababu hujui logic.

Usichoelewa ni kipi hapo?
 
Binadamu wote, wangetafakari na kujiuliza hilo swali, wangejua hapa duniani ni sehemu ya kupita tu; majivuno, kiburi, kumtesa mtu mwingine kwa kumpa maslai madogo, kumsababishia mwingine kifo n.k haya yote yasingekuwepo.

Ukipata nafasi ya kula bata, we kula tu; kufikisha miaka 80 ni bahati nasibu, wengi kabla ya kufikia huo umri huwa wanakufa.​

Sayansi is all about experiments, sio arguments ambazo at the end of the day hakuna resolutions.

Science inaenda kwenye conclusion na ikishindikana, itatoa sababu ambazo watu wengine watafanya tafiti kutokana na vipengele vilivyokuwepo awali.

Kiukweli sijui falsafa maana sijawahi isoma.
 
Maskini ndie anasema anasubiri kufa, juzi kati nmetoka na washikaji tumejichanga kwa ajili ya kwenda kula na kunywa aisee haya maisha ni matamu mno na pesa ni kila kitu
Binafsi huwa naona maisha ya wabongo wengi yapo kwenye routine ambayo ipo boring.

Mfano hapo unafanya kazi weekdays,
Weekend unaenda kuimalizia bar, beach au club, kwa wengine wanaimalizia kwa kujibebea makahaba, unasex

Jumapili utaenda nyumba ya ibada na kama sio bhasi utapumzika kwa uchovu wa siku iliyopita huku unasubiria wiki ianze

Yaani unaishi miaka 10-20 katika routine ile ile, bata zile zile, kazi ile ile, biashara zile zile na si ajabu hata watu ni wale wale

Hivi huwa hamboreki na hiyo system ya maisha mkuu, sio kwa ubaya ila nina shauku ya kujua
 
Kila aliyepo Duniani ni kwa kusudi maalumu la Mungu muumba wa nchi.

Kwasababu ya kutotii na dhambi kutomtafuta Mungu,

Wengi wetu tumeshindwa na matokeo yake hatujui hatma zetu.
Mungu yupi wa dini ipi? Maana kila dini inasema Mungu wake ndo muumba wa nchi, na kila dini inasheria zake so tufate zipi? Na huyo Mungu if he's so powerful why anahitaji tumuabudu? Na if yupo kila mahali kwa Nini tumtafute?
 
Sayansi is all about experiments, sio arguments ambazo at the end of the day hakuna resolutions.

Science inaenda kwenye conclusion na ikishindikana, itatoa sababu ambazo watu wengine watafanya tafiti kutokana na vipengele vilivyokuwepo awali.

Kiukweli sijui falsafa maana sijawahi isoma.
Kwenye sayansi, Euclidean geometry, kuna parallel lines.

In science parallel lines never meet.

Kama sayansi is all about experiments, nioneshe experiment iliyo prove kwamba parallel lines never meet.
 
Binafsi huwa naona maisha ya wabongo wengi yapo kwenye routine ambayo ipo boring.

Mfano hapo unafanya kazi weekdays,
Weekend unaenda kuimalizia bar, beach au club, kwa wengine wanaimalizia kwa kujibebea makahaba, unasex

Jumapili utaenda nyumba ya ibada na kama sio bhasi utapumzika kwa uchovu wa siku iliyopita huku unasubiria wiki ianze

Yaani unaishi miaka 10-20 katika routine ile ile, bata zile zile, kazi ile ile, biashara zile zile

Hivi huwa hamboreki na hiyo system ya maisha mkuu, sio kwa ubaya ila nina shauku ya kujua
Sio kila mtu anaishi hivyo wengine Wana vacation sehemu mpya Kila wiki. Ndo maana nasema tafuta hela
 
Uwepo wako kama species ndio uwepo wa species nyingine ni kujaribu ku-propagate species zao ingawa hata binadamu akifutika other life forms zitaendelea..., labda shida ingetokea kama vile viumbe vinavyokula mabaki na kufanya vitu vioze visingekuwepo vyote ndio stability ya Nature ingepata shida...., all animals could die na nature bado ingestabilize..., nadhani mimea ni more important kwa support ya life forms.... (In the eyes of other life forms Binadamu ni Kirusi /Canser / Ugonjwa / Tatizo) ambalo they could do without
You know, I wonder if they'll laugh when I am dead
Why am I fighting to live, if I'm just living to fight
Why am I trying to see, when there aint nothing in sight
Why I am I trying to give, when no one gives me a try
Why am I dying to live, if I'm just living to die​
 
Binadamu wote, wangetafakari na kujiuliza hilo swali, wangejua hapa duniani ni sehemu ya kupita tu; majivuno, kiburi, kumtesa mtu mwingine kwa kumpa maslai madogo, kumsababishia mwingine kifo n.k haya yote yasingekuwepo.

Ukipata nafasi ya kula bata, we kula tu; kufikisha miaka 80 ni bahati nasibu, wengi kabla ya kufikia huo umri huwa wanakufa.​
Tunapita tunaenda wapi?
 
Back
Top Bottom