Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Kwanini wanadamu tupo Duniani, ili iweje, wakati tunasubiri kifo tu
Kama unadhani unaishi kusubiri kifo, kwa nini usijiue ili hiyo hatma ikufikie mapema?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini wanadamu tupo Duniani, ili iweje, wakati tunasubiri kifo tu
Hahaha noma sanaTupo duniani kwa mahaba ya watu wawili waliondekeza hisia zao bila kutushirikisha km tunahitaji kuja au lah! 🤣🤣🤣
Asipozipata je?Tafuta hela,ukisha zipata,wewe mwenyewe utakuja kuwaomba Mod's waufute huu uzi wako.
♥️The best way ni kufanya yale unayo weza, usiumize kichwa na kupata stress kwa mambo ambayo huwezi kuyatimiza.
Epuka stress ishi kwa upendo wakati ukisuburi kifo chako!
Hapa ni simple logic tu, ambayo hata kwenye sayansi ipo.Sawa mkuu.
Sitaki niingie na wewe head to head kwasababu mi sio mwanafalsafa, I am just a scientist.
♥️Binadamu wote, wangetafakari na kujiuliza hilo swali, wangejua hapa duniani ni sehemu ya kupita tu; majivuno, kiburi, kumtesa mtu mwingine kwa kumpa maslai madogo, kumsababishia mwingine kifo n.k haya yote yasingekuwepo.
Ukipata nafasi ya kula bata, we kula tu; kufikisha miaka 80 ni bahati nasibu, wengi kabla ya kufikia huo umri huwa wanakufa.
Sayansi is all about experiments, sio arguments ambazo at the end of the day hakuna resolutions.Hapa ni simple logic tu, ambayo hata kwenye sayansi ipo.
Huhitaji kutoamini uwepo wa Mungu ili kuhoji kwa nini tupo duniani.
Hata kwenye dini watu wenye imani ya Mungu wamehoji sana maana ya maisha ni nini.
Kwa hivyo ukisema hii ni hoja ya atheists tu, unajionesha hujui falsafa wala sayansi, kwa sababu hujui logic.
Usichoelewa ni kipi hapo?
Asipozipata ndio ataendelea tu kujiuliza hilo swali lake mpaka siku anakufa.Asipozipata je?
Binafsi huwa naona maisha ya wabongo wengi yapo kwenye routine ambayo ipo boring.Maskini ndie anasema anasubiri kufa, juzi kati nmetoka na washikaji tumejichanga kwa ajili ya kwenda kula na kunywa aisee haya maisha ni matamu mno na pesa ni kila kitu
Mungu yupi wa dini ipi? Maana kila dini inasema Mungu wake ndo muumba wa nchi, na kila dini inasheria zake so tufate zipi? Na huyo Mungu if he's so powerful why anahitaji tumuabudu? Na if yupo kila mahali kwa Nini tumtafute?Kila aliyepo Duniani ni kwa kusudi maalumu la Mungu muumba wa nchi.
Kwasababu ya kutotii na dhambi kutomtafuta Mungu,
Wengi wetu tumeshindwa na matokeo yake hatujui hatma zetu.
Kwenye sayansi, Euclidean geometry, kuna parallel lines.Sayansi is all about experiments, sio arguments ambazo at the end of the day hakuna resolutions.
Science inaenda kwenye conclusion na ikishindikana, itatoa sababu ambazo watu wengine watafanya tafiti kutokana na vipengele vilivyokuwepo awali.
Kiukweli sijui falsafa maana sijawahi isoma.
Sio kila mtu anaishi hivyo wengine Wana vacation sehemu mpya Kila wiki. Ndo maana nasema tafuta helaBinafsi huwa naona maisha ya wabongo wengi yapo kwenye routine ambayo ipo boring.
Mfano hapo unafanya kazi weekdays,
Weekend unaenda kuimalizia bar, beach au club, kwa wengine wanaimalizia kwa kujibebea makahaba, unasex
Jumapili utaenda nyumba ya ibada na kama sio bhasi utapumzika kwa uchovu wa siku iliyopita huku unasubiria wiki ianze
Yaani unaishi miaka 10-20 katika routine ile ile, bata zile zile, kazi ile ile, biashara zile zile
Hivi huwa hamboreki na hiyo system ya maisha mkuu, sio kwa ubaya ila nina shauku ya kujua
Si yupo kila mahali...afu Mungu gani tumtafute...Allah Zeus au ThorHajapotea, ila unavyohangaika kutafuta pesa ndio na nguvu hizo hizo Tena na zaidi umtafute yeye...
Utamuona na nguvu zake...
Jesus Christ ndo wa kumtafuta.Si yupo kila mahali...afu Mungu gani tumtafute...Allah Zeus au Thor
Kwake ni wapi ..juu ya Mlima Kama Moses alipomuona, mawinguni Kama yesu alipoenda au amejificha pasipojulikanaTumjue, tumpende, tumtumikie na mwisho tufike kwake....over
Aliyekuumba wewe na Mimi achana na hao miungu Sanamu...Si yupo kila mahali...afu Mungu gani tumtafute...Allah Zeus au Thor
Tunapita tunaenda wapi?Binadamu wote, wangetafakari na kujiuliza hilo swali, wangejua hapa duniani ni sehemu ya kupita tu; majivuno, kiburi, kumtesa mtu mwingine kwa kumpa maslai madogo, kumsababishia mwingine kifo n.k haya yote yasingekuwepo.
Ukipata nafasi ya kula bata, we kula tu; kufikisha miaka 80 ni bahati nasibu, wengi kabla ya kufikia huo umri huwa wanakufa.
Unajuaje Yahweh kakuumba na sio ThorAliyekuumba wewe na Mimi achana na hao miungu Sanamu...
Why not ZeusJesus Christ ndo wa kumtafuta.