Kwanini wanadamu tupo Duniani?

Kwanini wanadamu tupo Duniani?

Wakuu sorry

Labda nimejizima data, Ila sielewi haya maisha. Baada ya kupata CHANGAMOTO, nimejiuliza Mambo mengi

Kwanini wanadamu tupo Duniani, ili iweje, wakati tunasubiri kifo tu

Dah
Maisha yenyewe hayajaanza bado.
Hapa duniani tumekuja kwa muda mfupi, kupiga kura ya kumchagua Mungu au Shetani.
Na uzuri uchaguzi wa kila mtu utaheshimiwa sana!
 
Wat if hizi ni story za kutungwa ulizoambiwa since utotoni ili wafunge akili yako
 
Wakuu sorry

Labda nimejizima data, Ila sielewi haya maisha. Baada ya kupata CHANGAMOTO, nimejiuliza Mambo mengi

Kwanini wanadamu tupo Duniani, ili iweje, wakati tunasubiri kifo tu

Dah
Mkuu acha kuvuta high grade
 
Hapa ni simple logic tu, ambayo hata kwenye sayansi ipo.

Huhitaji kutoamini uwepo wa Mungu ili kuhoji kwa nini tupo duniani.

Hata kwenye dini watu wenye imani ya Mungu wamehoji sana maana ya maisha ni nini.

Kwa hivyo ukisema hii ni hoja ya atheists tu, unajionesha hujui falsafa wala sayansi, kwa sababu hujui logic.

Usichoelewa ni kipi hapo?

Maana ya maisha huwa nahisi kama ni fumbo kubwa kuliko uwezo wetu wa kufikiria na si kwa sababu hatuwezi kutambua ila ni kwa sababu, binadamu wengi tunakuwa programmed kwenye system za kijamii toka tukiwa wadogo hususani kwenye Jamii zilizo traditional and religious kupitiliza kama yetu.

Unakuta hizi dini na tamaduni zinatuwekea mipaka mingi ambayo inatufanya tuishi ndani ya box kwa muda mrefu pasipo kujua mahitaji na matamanio yetu.

Mwisho wa siku tunaishi kama reflection ya demands za dini na community zetu kwa kupuuzia za kwetu. Ndio maana huwa natamani kuijua dunia zaidi haswaa jamii ambazo zipo free minded
 
Why not Zeus
Zeus cannot heal.
Zeus cannot save.
Zeus cannot deliver.
Zeus cannot create.
Zeus was an idol made by men, he wasn't a real deal.

Jesus Christ heals.
Jesus Christ delivers.
Jesus Christ saves .
Jesus Christ can create anything out of nothing.
Jesus is a real man, lived for 33 years on earth, performing signs and wonders, historically proven of existence, was killed, and on the third day, His God made him alive again and granted him Power and Honour.
 
Sio kila mtu anaishi hivyo wengine Wana vacation sehemu mpya Kila wiki. Ndo maana nasema tafuta hela

Unaniambia mimi au watu niliowauliza

Na unavyosema vacation, inabidi ujue si kitu cha pesa tu ila na utamaduni pia. Mfano mzuri, Tz tu ina touristic spots kibao ila watz wengi tunachukulia kama hivyo vitu ni vya wageni. Si kwa sababu ya kipato ila kwa sababu ya hizo routines

Kumbuka hapa pia nazungumzia majority na hulka zao kwa ujumla
 
Sanamu anawezaje umba...
Nani kasema Thor ni sanamu acha kujikosha..kwa Nini hamna sanamu za Yesu...maria etc...zile ni representative. So usijikoshe. Niambie tofauti ya Thor na Mungu unayemuabudu. Why huamini Thor kakuumba una ushahidi gani sio . Ulikuwepo?
 
Maana ya maisha huwa nahisi kama ni fumbo kubwa kuliko uwezo wetu wa kufikiria na si kwa sababu hatuwezi kutambua ila ni kwa sababu, binadamu wengi tunakuwa programmed kwenye system za kijamii toka tukiwa wadogo hususani kwenye Jamii zilizo traditional and religious kupitiliza kama yetu.

Unakuta hizi dini na tamaduni zinatuwekea mipaka mingi ambayo inatufanya tuishi ndani ya box kwa muda mrefu pasipo kujua mahitaji na matamanio yetu.

Mwisho wa siku tunaishi kama reflection ya demands za dini na community zetu kwa kupuuzia za kwetu. Ndio maana huwa natamani kuijua dunia zaidi haswaa jamii ambazo zipo free minded
Ukiwa free minded unagundua maisha ni mazuri tu...sio ukimsikiliza mchungaji anakuambia dunia inaisha tokea Yesu huko mpaka Leo haijaisha tu
 
Uwa nawaza pengine huko mbinguni sisi ndio mboga/Chakula. Ushawahi kusikia nyama ya mtu ni tamu kuliko nyama nyingine yoyote? Lakini mbona watu hawaishobokei?? Nadhani imewekwa hivyo ili tusikulane, tukifa tukaliwe mbinguni.

Yaani kwa kifupi nikwamba hapa duniani ni kama tupo tunafugwa. Kama ng'ombe yani. Siku nyama ikihitajika huko, wanachagua tuu kundini. Halafu ndo mtu huku anakufa tunazika.
 
Zeus cannot heal.
Zeus cannot save.
Zeus cannot deliver.
Zeus cannot create.
Zeus was an idol made by men, he wasn't a real deal.

Jesus Christ heals.
Jesus Christ delivers.
Jesus Christ saves .
Jesus Christ can create anything out of nothing.
Jesus is a real man, lived for 33 years on earth, performing signs and wonders, historically proven of existence, was killed, and on the third day, His God made him alive again and granted him Power and Honour.
Mi namsalia Zeus na anafanya vyote hivyo ila Yesu hafanyi can u prove otherwise?
 
Uwa nawaza pengine huko mbinguni sisi ndio mboga/Chakula. Ushawahi kusikia nyama ya mtu ni tamu kuliko nyama nyingine yoyote? Lakini mbona watu hawaishobokei?? Nadhani imewekwa hivyo ili tusikulane, tukifa tukaliwe mbinguni.

Yaani kwa kifupi nikwamba hapa duniani ni kama tupo tunafugwa. Kama ng'ombe yani. Siku nyama ikihitajika huko, wanachagua tuu kundini. Halafu ndo mtu huku anakufa tunazika.
😴U need help
 
Unaniambia mimi au watu niliowauliza

Na unavyosema vacation, inabidi ujue si kitu cha pesa tu ila na utamaduni pia. Mfano mzuri, Tz tu ina touristic spots kibao ila watz wengi tunachukulia kama hivyo vitu ni vya wageni. Si kwa sababu ya kipato ila kwa sababu ya hizo routines

Kumbuka hapa pia nazungumzia majority na hulka zao kwa ujumla
Ni kwa sababu ya kipato...watanzania wengi hawana hela ya kwenda Zanzibar weekend huo ni ukweli. Hamna mtu ambae hapendi good time. Acha uwongo
 
Maana ya maisha huwa nahisi kama ni fumbo kubwa kuliko uwezo wetu wa kufikiria na si kwa sababu hatuwezi kutambua ila ni kwa sababu, binadamu wengi tunakuwa programmed kwenye system za kijamii toka tukiwa wadogo hususani kwenye Jamii zilizo traditional and religious kupitiliza kama yetu.

Unakuta hizi dini na tamaduni zinatuwekea mipaka mingi ambayo inatufanya tuishi ndani ya box kwa muda mrefu pasipo kujua mahitaji na matamanio yetu.

Mwisho wa siku tunaishi kama reflection ya demands za dini na community zetu kwa kupuuzia za kwetu. Ndio maana huwa natamani kuijua dunia zaidi haswaa jamii ambazo zipo free minded
Kabla ya kujua maana ya maisha, inabidi ujue maana ya maana kwanza.

Ni nini maana ya maana kama neno hilo linavyotumika katika muktadha huu?

Kiingereza neno hili linaweza kutafsiriwa kitofauti, kama meaning, reason, purpose, sense, objective etc.

Kwa hiyo, tunaposema maana tunakusudia nini?
 
Kama Zeus anaweza toa unabii wowote wa kitaifa. Ikitimia tutajua Zeus anafanya, isipotimia, Zeus hayupo.
Yesu katoa unabii Gani wa maana...vita na magonjwa vipo na vitaendelea kuwepo so hamna kitu hapo...alisema dunia itaisha wafuasi wake waliomsikiliza pale wakiwa hai and everyone died hakurudi. So wat did he get right Cha ajabu utuambie?
 
Back
Top Bottom