Mchokoo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2015
- 1,181
- 1,579
Maisha yenyewe hayajaanza bado.Wakuu sorry
Labda nimejizima data, Ila sielewi haya maisha. Baada ya kupata CHANGAMOTO, nimejiuliza Mambo mengi
Kwanini wanadamu tupo Duniani, ili iweje, wakati tunasubiri kifo tu
Dah
Hapa duniani tumekuja kwa muda mfupi, kupiga kura ya kumchagua Mungu au Shetani.
Na uzuri uchaguzi wa kila mtu utaheshimiwa sana!