Kwanini wanadamu tupo Duniani?

Kwanini wanadamu tupo Duniani?

Lengo la kuwepo kwetu duniani ni kumuabudu Mungu....only
 
Tumjue, tumpende, tumtumikie na mwisho tufike kwake....over
Mungu huyo kama alitaka tufike huko kwake, Kwa nini asinge tuumba hukohuko kwake alipo yeye?

Kwa nini atuumbe duniani?

If God wanted us in Heaven, Why he created us on Earth.
 
😂😂😂😂Kama ana fahamika mbona kila mtu ana Mungu wake. Hata katika dini moja kila mtu anamwelewa kivyake. 😂😂unajuaje anaendesha dunia umemwona? Amekuambia? Acha kuforce agency katika vitu ambavyo havina agency
Hayo ni matokeo ya watu kufata matamanio yao binafsi, kwahiyo haibadilishi ya kuwa Mungu anafahamika.
 
Mwanadamu ni kiumbe kisicho na mwanzo wala mwisho.... Hadi leo hakuna dhana kamili ya tulipotokea na tuendako pia akuna taarifa kamili, kwahyo tuishi tu.
 
Haya mambo yamekuzidi uwezo sio kosa lako
😂😂😂Ndo hivyo sio kunizidi uwezo...mi nimewazidi uwezo mababu waliotunga hizi story, na nimewazidi elimu...sio kosa lao .lakini kutunga story kama hii na kusema ndo absolutely true wakati hata mtoto wa la nne anaweza cheka akiskia ni ujinga
 
😂😂😂Ndo hivyo sio kunizidi uwezo...mi nimewazidi uwezo mababu waliotunga hizi story, na nimewazidi elimu...sio kosa lao .lakini kutunga story kama hii na kusema ndo absolutely true wakati hata mtoto wa la nne anaweza cheka akiskia ni ujinga
Pole sana
 
Wakuu sorry

Labda nimejizima data, Ila sielewi haya maisha. Baada ya kupata CHANGAMOTO, nimejiuliza Mambo mengi

Kwanini wanadamu tupo Duniani, ili iweje, wakati tunasubiri kifo tu

Dah
Mhubiri 12:13
[13]Hii ndiyo jumla ya maneno; yote yamekwisha sikiwa;
Mche Mungu, nawe uzishike amri zake,
Maana kwa jumla ndiyo impasayo mtu.
 
Back
Top Bottom