Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuabudu ni nini?Lengo la kuwepo kwetu duniani ni kumuabudu Mungu....only
Mungu huyo kama alitaka tufike huko kwake, Kwa nini asinge tuumba hukohuko kwake alipo yeye?Tumjue, tumpende, tumtumikie na mwisho tufike kwake....over
Hahahahah hii kali ya mwakaTupo duniani kwa mahaba ya watu wawili waliondekeza hisia zao bila kutushirikisha km tunahitaji kuja au lah! 🤣🤣🤣
Hayo ni matokeo ya watu kufata matamanio yao binafsi, kwahiyo haibadilishi ya kuwa Mungu anafahamika.😂😂😂😂Kama ana fahamika mbona kila mtu ana Mungu wake. Hata katika dini moja kila mtu anamwelewa kivyake. 😂😂unajuaje anaendesha dunia umemwona? Amekuambia? Acha kuforce agency katika vitu ambavyo havina agency
Hahahaha hayo mawazo yanakujaga tukifulia, ila pesa ikiwa mfukoni..hamna kuwaza hivyo..Tafuta hela,ukisha zipata,wewe mwenyewe utakuja kuwaomba Mod's waufute huu uzi wako.
Ndo visingizio...😂😂😂 haya banabila imani huwezi ona kitu,
utana giza totoro tu...
Mi staki...nimekubaliana na Hali if I die ndo mwisho...Kama hujawahi kula Bata in ur lyf usiexpect utakula after u die. Wanaokuambia hivyo wanataka hela zao ili wao wale batasawa i hope wewe utakuepo
😂😂😂Ndo hivyo sio kunizidi uwezo...mi nimewazidi uwezo mababu waliotunga hizi story, na nimewazidi elimu...sio kosa lao .lakini kutunga story kama hii na kusema ndo absolutely true wakati hata mtoto wa la nne anaweza cheka akiskia ni ujingaHaya mambo yamekuzidi uwezo sio kosa lako
Yuko wapi tukamuabudu?Lengo la kuwepo kwetu duniani ni kumuabudu Mungu....only
😂😂😂Wewe ndo unamfahamu Mungu wako ambao waarabu wamekukaririsha...Hayo ni matokeo ya watu kufata matamanio yao binafsi, kwahiyo haibadilishi ya kuwa Mungu anafahamika.
sawa mkuuMi staki...nimekubaliana na Hali if I die ndo mwisho...Kama hujawahi kula Bata in ur lyf usiexpect utakula after u die. Wanaokuambia hivyo wanataka hela zao ili wao wale bata
Pole sana😂😂😂Ndo hivyo sio kunizidi uwezo...mi nimewazidi uwezo mababu waliotunga hizi story, na nimewazidi elimu...sio kosa lao .lakini kutunga story kama hii na kusema ndo absolutely true wakati hata mtoto wa la nne anaweza cheka akiskia ni ujinga
Mhubiri 12:13Wakuu sorry
Labda nimejizima data, Ila sielewi haya maisha. Baada ya kupata CHANGAMOTO, nimejiuliza Mambo mengi
Kwanini wanadamu tupo Duniani, ili iweje, wakati tunasubiri kifo tu
Dah
😅Unataka unitishe na moto wa kufikirika ama?Pole sana
😅Mungu yupi Odin au Shiva?Mhubiri 12:13
[13]Hii ndiyo jumla ya maneno; yote yamekwisha sikiwa;
Mche Mungu, nawe uzishike amri zake,
Maana kwa jumla ndiyo impasayo mtu.