Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 6,007
- 15,216
Kuna mada nimekutana nayo kuhusu kuwa sisi wanadamu ni namba na ndio maana namba zikizidi au kupungua sawa na ajari ya watu kumi masai mmoja.
Kwa nini mpaka vitambulisho vina namba na ukiangalia namba hizo ni lazima kuwa watu fulani.
Namba ni nini kwa elimu ambayo hata uzazi wanasema mtoto wa kwanza.
Kwa nini mpaka vitambulisho vina namba na ukiangalia namba hizo ni lazima kuwa watu fulani.
Namba ni nini kwa elimu ambayo hata uzazi wanasema mtoto wa kwanza.