Kwanini wanadamu wakitoka nje ya dunia wanapewa namba na sio majina yao?

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
6,007
Reaction score
15,216
Kuna mada nimekutana nayo kuhusu kuwa sisi wanadamu ni namba na ndio maana namba zikizidi au kupungua sawa na ajari ya watu kumi masai mmoja.

Kwa nini mpaka vitambulisho vina namba na ukiangalia namba hizo ni lazima kuwa watu fulani.

Namba ni nini kwa elimu ambayo hata uzazi wanasema mtoto wa kwanza.
 
masai mmoja?
 
Ngoja waje wajuvi watujuze,sisi wengine ni wa elimu za hapa na pale
 
Mbona hata bila ya kutoka nje ya dunia kwenye mitihani ya NECTA watu wanapewa namba?
 
Kwani kuna mtu anaishi ndani ya dunia?
 
Itakua namba za Wachumba niliowaahi kuwavua chupi na kuwagonga mpaka nikishakojoa wananipa asante km zote, sikumbuki ni ngapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…