Nauatilia kuna independent streams, youtubers kama 6 kila baada ya nusu saa wanapost mambo ya protest mambo mabaya tu ya Tanzania na kuna mama mmoja mzungu katikakati kwenye press za wanaharakati.
Huyu alikuwepo sana kwenye kumsuport rickie machari wakati amaefukuzwa, fuatilieni video za 2019 na 2020 enzi hizo nina biashara na serikali ya juba huyu wote walikuwa wanamlaumu anaichafua Juba internationally na laifanikiwa sana Wajuzi wa TISS huyu wa kuanza ku seach profile yake na associates wake
1. Kwa nini imekuwa kama shangwe kuu kwa Kenya? Tuanze ujasusi wa kiuchumi tunatakiwa tufanye kazi sana kama nchi inawezekana ni project kufukuza wawekezaji wakubwa wa DFI
2. TUJICHUNGUZE, inawezekana tuna moles ndani ya serikali yetu, hii sio movement ya kawaida it is tooo much
3. Ubalozi wetu wa Nairobi ujiongeze, uanze kufanya upelelezi na taarifa iwe analysed na expert kwa kina before 2030