GE2025 Kwanini Wanaharakati wa Kenya wana maslahi sana na Tanzania kuliko Uchaguzi wao?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Habari ya taharuki ndiyo habari gani? Unaweza wewe kudhani ni habari ya taharuki lakini wengine wasione hivyo.
Zinatumwa video tangu 2021 Magufuli kafa wakati anaagwa airport JNIA,
Wanasema wanainchi waandamanaji wamevamia airport..
Mara wanatuma video za cameroon wanasema tanzania.
Wanatuma video za Vurugu Kenya wanasema tanzania.
 
Una uhakika gani wakenya? Kwenye Internet mtu anaweza kujifanya ni fulani au yuko sehemu fulani. Wanaweza kuwa ni wale CCM waliokatwa kwenye nafasi za kugombea.
 
Sitoroki ngo tutapambana hapa hapa tu ila Watanzania tumeingizwa mkenge sana this time , na vyombo sijui kwa nini vimemzira amiri jeshi wao , ingekuwa enzi za Magu operesheni ingekuwa imeshasafisha mpaka panya sokoni wangetoka kwenye mashimo yaoMbona
Mbona Mama alikuwa akijitapa kila leo kuwa yeye ndiye Amiri Jeshi Mkuu? Kwa hiyo, kila kitu kitaenda vizuri na watu wajitokeze kwa wingi tu kupiga kura. Hakuna cha nywi nywi wala nini. Sasa inakuwaje unamsifia Ngosha? Kila Rais ni Amiri Jeshi Mkuu. Lakini hakuna hata Rais mmoja aliyepita aliyekuwa akijinasibu kwa wananchi kuwa yeye ndiye Amiri Jeshi Mkuu. Ndani ya mwezi mmoja uliopita tunaonyeshwa magari mapya ya polisi yaliyonunuliwa na kusambazwa nchi nzima na polisi wakifanya mazoezi mikoani pote. Yote hayo ni kutishia raia tu kufumbia uovu uliokuwa unaendelea.
 
Kwa sababu wanajua injustice anywhere is injustice everywhere bwana ndoto! Walishaacha ung'ombe kitambo usishangae kama hujapevuka wewe
 
Una uhakika gani wakenya? Kwenye Internet mtu anaweza kujifanya ni fulani au yuko sehemu fulani. Wanaweza kuwa ni wale CCM waliokatwa kwenye nafasi za kugombea.
Profile ya mtu aliyepost inajieleza kila kitu mkuu,
Wala haina haja ya kutumia nguvu nyingi
 
Nauatilia kuna independent streams, youtubers kama 6 kila baada ya nusu saa wanapost mambo ya protest mS ambo mabaya tu ya Tanzania na kuna mama mmoja mzungu katikakati kwenye press za wanaharakati huyu alikuwepo sana kwenye kumsuport rickie machari wakati amaefukuzwa fuatilieni video za 2019 na 2020 enzi hizo nina biashara na serikali ya juba huyu wote walikuwa wanamlaumu anaichafua Juba internationally na laifanikiwa sana Wajuzi wa TISS huyu wa kuanza ku seach profile yake na associates wake

2. Kwa nini imekuwa kama shangwe kuu kwa Kenya ? tuanze ujasusi wa kiuchumi tunatakiwa tufanye kazi sana kama nchi inawezekana ni project kufukuza wawekezaji wakubwa wa DFI
3. TUJICHUNGUZE inawezekana tuna Moles ndani ya serikali yetu hii sio movement ya kawaida it is tooo much
4. Ubalozi wetu wa Nairobi ujiongeze uanze kufanya upelelezi na taarifa iwe analysed na expert kwa kina before 2030
The reason is simple and straightforward. Ukombozi wa Tanzania una chilling effects kwa watawala wa East Africa wenye dictatorial predisposition! Ni salaam isiyokuwa na chenga!
 
Nauatilia kuna independent streams, youtubers kama 6 kila baada ya nusu saa wanapost mambo ya protest mS ambo mabaya tu ya Tanzania na kuna mama mmoja mzungu katikakati kwenye press za wanaharakati huyu alikuwepo sana kwenye kumsuport rickie machari wakati amaefukuzwa fuatilieni video za 2019 na 2020 enzi hizo nina biashara na serikali ya juba huyu wote walikuwa wanamlaumu anaichafua Juba internationally na laifanikiwa sana Wajuzi wa TISS huyu wa kuanza ku seach profile yake na associates wake

2. Kwa nini imekuwa kama shangwe kuu kwa Kenya ? tuanze ujasusi wa kiuchumi tunatakiwa tufanye kazi sana kama nchi inawezekana ni project kufukuza wawekezaji wakubwa wa DFI
3. TUJICHUNGUZE inawezekana tuna Moles ndani ya serikali yetu hii sio movement ya kawaida it is tooo much
4. Ubalozi wetu wa Nairobi ujiongeze uanze kufanya upelelezi na taarifa iwe analysed na expert kwa kina before 2030
Wewe bado una mawazo ya CCM, tupishe
 
Back
Top Bottom