Zinatumwa video tangu 2021 Magufuli kafa wakati anaagwa airport JNIA,Habari ya taharuki ndiyo habari gani? Unaweza wewe kudhani ni habari ya taharuki lakini wengine wasione hivyo.
Una uhakika gani wakenya? Kwenye Internet mtu anaweza kujifanya ni fulani au yuko sehemu fulani. Wanaweza kuwa ni wale CCM waliokatwa kwenye nafasi za kugombea.Zinatumwa video tangu 2021 Magufuli kafa wakati anaagwa airport JNIA,
Wanasema wanainchi waandamanaji wamevamia airport..
Mara wanatuma video za cameroon wanasema tanzania.
Wanatuma video za Vurugu Kenya wanasema tanzania.
Mbona Mama alikuwa akijitapa kila leo kuwa yeye ndiye Amiri Jeshi Mkuu? Kwa hiyo, kila kitu kitaenda vizuri na watu wajitokeze kwa wingi tu kupiga kura. Hakuna cha nywi nywi wala nini. Sasa inakuwaje unamsifia Ngosha? Kila Rais ni Amiri Jeshi Mkuu. Lakini hakuna hata Rais mmoja aliyepita aliyekuwa akijinasibu kwa wananchi kuwa yeye ndiye Amiri Jeshi Mkuu. Ndani ya mwezi mmoja uliopita tunaonyeshwa magari mapya ya polisi yaliyonunuliwa na kusambazwa nchi nzima na polisi wakifanya mazoezi mikoani pote. Yote hayo ni kutishia raia tu kufumbia uovu uliokuwa unaendelea.Sitoroki ngo tutapambana hapa hapa tu ila Watanzania tumeingizwa mkenge sana this time , na vyombo sijui kwa nini vimemzira amiri jeshi wao , ingekuwa enzi za Magu operesheni ingekuwa imeshasafisha mpaka panya sokoni wangetoka kwenye mashimo yaoMbona
Profile ya mtu aliyepost inajieleza kila kitu mkuu,Una uhakika gani wakenya? Kwenye Internet mtu anaweza kujifanya ni fulani au yuko sehemu fulani. Wanaweza kuwa ni wale CCM waliokatwa kwenye nafasi za kugombea.
The reason is simple and straightforward. Ukombozi wa Tanzania una chilling effects kwa watawala wa East Africa wenye dictatorial predisposition! Ni salaam isiyokuwa na chenga!Nauatilia kuna independent streams, youtubers kama 6 kila baada ya nusu saa wanapost mambo ya protest mS ambo mabaya tu ya Tanzania na kuna mama mmoja mzungu katikakati kwenye press za wanaharakati huyu alikuwepo sana kwenye kumsuport rickie machari wakati amaefukuzwa fuatilieni video za 2019 na 2020 enzi hizo nina biashara na serikali ya juba huyu wote walikuwa wanamlaumu anaichafua Juba internationally na laifanikiwa sana Wajuzi wa TISS huyu wa kuanza ku seach profile yake na associates wake
2. Kwa nini imekuwa kama shangwe kuu kwa Kenya ? tuanze ujasusi wa kiuchumi tunatakiwa tufanye kazi sana kama nchi inawezekana ni project kufukuza wawekezaji wakubwa wa DFI
3. TUJICHUNGUZE inawezekana tuna Moles ndani ya serikali yetu hii sio movement ya kawaida it is tooo much
4. Ubalozi wetu wa Nairobi ujiongeze uanze kufanya upelelezi na taarifa iwe analysed na expert kwa kina before 2030
Wewe bado una mawazo ya CCM, tupisheNauatilia kuna independent streams, youtubers kama 6 kila baada ya nusu saa wanapost mambo ya protest mS ambo mabaya tu ya Tanzania na kuna mama mmoja mzungu katikakati kwenye press za wanaharakati huyu alikuwepo sana kwenye kumsuport rickie machari wakati amaefukuzwa fuatilieni video za 2019 na 2020 enzi hizo nina biashara na serikali ya juba huyu wote walikuwa wanamlaumu anaichafua Juba internationally na laifanikiwa sana Wajuzi wa TISS huyu wa kuanza ku seach profile yake na associates wake
2. Kwa nini imekuwa kama shangwe kuu kwa Kenya ? tuanze ujasusi wa kiuchumi tunatakiwa tufanye kazi sana kama nchi inawezekana ni project kufukuza wawekezaji wakubwa wa DFI
3. TUJICHUNGUZE inawezekana tuna Moles ndani ya serikali yetu hii sio movement ya kawaida it is tooo much
4. Ubalozi wetu wa Nairobi ujiongeze uanze kufanya upelelezi na taarifa iwe analysed na expert kwa kina before 2030