Eti kila mtu humu ni mkuu, hahaa mi nadhani huu ni woga, ni woga kwa sababu wanajamii wa humu wanadhani wote wamesoma mpaka chuo kikuu, tena wengi wanadhani wanatokea pale UD, na tena ni woga maana wengi wanadhani wanajamii wa humu ni wakazi au wanaijua mno Dar.
Mimi nadhania kuitana mkuu ni woga, ni woga kwa sababu humu ndani tunatumia ID na Avatar fake.
Mimi nadhania kuitana mkuu ni woga, ni woga kwa sababu humu ndani tunatumia ID na Avatar fake.