Panya Mabaka
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 619
- 557
MKUU tuambie sisi WAKUU wengine tutumie jina gani MKUU. pamoja MKUU!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Salama mkuu
Mkuu..Labda kwanza utueleze nini maana ya mkuu.Eti kila mtu humu ni mkuu, hahaa mi nadhani huu ni woga, ni woga kwa sababu wanajamii wa humu wanadhani wote wamesoma mpaka chuo kikuu, tena wengi wanadhani wanatokea pale UD, na tena ni woga maana wengi wanadhani wanajamii wa humu ni wakazi au wanaijua mno Dar.
Mimi nadhania kuitana mkuu ni woga, ni woga kwa sababu humu ndani tunatumia ID na Avatar fake.
👍👍👍Ila katika comparisons, JF miaka ya kabla 2015 wengi walikuwa ni watu wenye uelewa, nachelea kusema sio kama kokoro la FB hapa tz lina kila aina ya 'takataka'.
Hivyo 'mkuu' ni heshima regardless nakufahamu au sikufahamu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna majina hujitokeza ambapo huwezi kuzuia au kuhoji kwa nini. kwamfano nikawaida sana kukutana na mtu mtaani akakusalimia "Niambie kiongozi" sidhani kama utakataa hiyo salam useme wewe sio kiongozi, Fikilia mtu anakuambia niambie mzee baba, kwa ambao wanajua hizo lugha za namna hiyo hawawezi kuhoji. Kuitana mkuu ni aina tu ya kuheshimiana, sidhani kama kuna sababu ya kuchosha akili kujaribu kufikiri kwanini watu wanaitana "mkuu".Eti kila mtu humu ni mkuu, hahaa mi nadhani huu ni woga, ni woga kwa sababu wanajamii wa humu wanadhani wote wamesoma mpaka chuo kikuu, tena wengi wanadhani wanatokea pale UD, na tena ni woga maana wengi wanadhani wanajamii wa humu ni wakazi au wanaijua mno Dar.
Mimi nadhania kuitana mkuu ni woga, ni woga kwa sababu humu ndani tunatumia ID na Avatar fake.
Eti kila mtu humu ni mkuu, hahaa mi nadhani huu ni woga, ni woga kwa sababu wanajamii wa humu wanadhani wote wamesoma mpaka chuo kikuu, tena wengi wanadhani wanatokea pale UD, na tena ni woga maana wengi wanadhani wanajamii wa humu ni wakazi au wanaijua mno Dar.

poa Mkuundugu EduinEti kila mtu humu ni mkuu, hahaa mi nadhani huu ni woga, ni woga kwa sababu wanajamii wa humu wanadhani wote wamesoma mpaka chuo kikuu, tena wengi wanadhani wanatokea pale UD, na tena ni woga maana wengi wanadhani wanajamii wa humu ni wakazi au wanaijua mno Dar.
Mimi nadhania kuitana mkuu ni woga, ni woga kwa sababu humu ndani tunatumia ID na Avatar fake.
ok mkuuMimi hakuna mtu anayeniita mkuu humu, labda wewe na wenzako
Mkuu nimekuelewa sanaShida inakuja huwez mwita mtu dada, kaka, jamaa au jina jingine wakat mtu jina lake tu unashindwa kujua ni mwanamke au mwanaume ukiita mkuu inakaa potepote
Sent using Jamii Forums mobile app
Mapendekezo yako yasije ongeza 'ndugu yangu', nakutahadharisha tu MKUU.Mimi nadhania kuitana mkuu ni woga