Kwanini wanajamii wa jukwaa hili wanaitana wakuu au mkuu?

Kwanini wanajamii wa jukwaa hili wanaitana wakuu au mkuu?

Mtu hujui ni mwanaume au mwanamke, hujui ni mkubwa au bwana mdogo, hujui ni mheshimiwa au mlala hoi utatumia kauli ipi? MKUU Ikaonekana ina cover kote
 
Mkuu sababu ni moja,tumejitahidi kuheshimiana kwa kiwango cha juu japo wengi hatufamiani.
 

Habarini wana jf natumai mu bazimaa

Humu ndani tumekuwa na maneno mengi tunayotumia, baadhi yao yamekuwaa common sana humu kama vile;
1.mkuu
2.kimasihara😁😁n.k

ONGEZEA NA WEWE MISAMIATI INAYOTUMIKA SANA HUMU TUIJUE.
 
Back
Top Bottom