Kwanini wanajamii wa jukwaa hili wanaitana wakuu au mkuu?

kila mtandao unajina linalowatambulisha members wake sawa
reddit wanajulikana REDDITORS
4chan wanajulikana kama anon
jamiiforums wanajulikana kama Wakuu
9gag wanajulikana kama troll
bila kuwasahau 31337 h4x0r, LEET legendary hacker
Na Kenya talk wanajulikana kama villagers
 
kila mtandao unajina linalowatambulisha members wake sawa
reddit wanajulikana REDDITORS
4chan wanajulikana kama anon
jamiiforums wanajulikana kama Wakuu
9gag wanajulikana kama troll
bila kuwasahau 31337 h4x0r, LEET legendary hacker
Kweli Mkuu,
JamiiForums.com wanaitana Villager
 
Kuwa mkuu siyo lazima ufike chuo,
Kitendo cha kujiunga jf tuu tayari wewe ni mkuu[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeeleweka mkuu!
Tulilikuta na tutaliacha humu humu.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu tupe pendekezo lako aisee.

Sent from Nokia 7 Plus
 
Kwa sababu wote ni wakazi wa makao makuu ya wilaya ya Rombo ambapo panaitwa Mkuu ,
 

Kwani kuna tatizo kiongozi?
 
mkuu, ni mwendelezo wa wanaoabudu shetani - ma iluminati!! free mason, Mkuu ni shetani na hivyo kila mtu anaijitukuza kujiita mkuu kama shetani alivyotaka kuwa mkuu kama Mungu. usiniulize zaidi ya hapo fanya reserach yako mwenyewe!! hivyo wengine huiga tu kuita mkuu , kumuonesha mtu kuwa yuko juu na hasa kama wataka akufanyie kitu kama favour/hisani unamtukuza ajione wa maaana. Acheni kuitana mkuu muite mtu kwa jina lake ama cheo chake katika jamii, familia, makanisani ama misikitini.
 
Mtoa uzi anahoja humu unaweza kuta unamwita mtoto wako mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…