Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
Wanajeshi wa DRC wamekimbia uwanja wa mapambano na kuamua kujikabidhi kwa mahasimu wao, yani jeshi la Rwanda.
Baada ya kuona hivyo, wanajeshi mamluki zaidi ya 280 toka Romania na Ufaransa waliokodiwa na serikali ya DRC kuwasaidia kwenye maeneo ya kuongoza drones za kivita, snippers na wapiganaji nao wameamua kujisalimisha kwa Kagame. Bila shaka hawa jamaa wameamua ivyo baada ya kuona kwanini wapigane wakati wakongo wenyewe hawako tayari kupigania nchi yao.
Hiki kilichofanywa na wanajeshi hawa ni uasi kwa nchi. Wanajeshi hawa wameacha viapo vyao vya uaminifu kwa taifa lao.
Wakuu mnafikiri kwanini wanajeshi hawa wameamua kuacha kuipambania nchi yao na badala yake wameamua kujisalimisha kwa adui?
shida ni nini hasa?