Kwanini wanajeshi wa jeshi DRC wameamua kuasi?

Wanajeshi wa DRC wamekimbia uwanja wa mapambano na kuamua kujikabidhi kwa mahasimu wao, yani jeshi la Rwanda.

Baada ya kuona hivyo, wanajeshi mamluki zaidi ya 280 toka Romania na Ufaransa waliokodiwa na serikali ya DRC kuwasaidia kwenye maeneo ya kuongoza drones za kivita, snippers na wapiganaji nao wameamua kujisalimisha kwa Kagame. Bila shaka hawa jamaa wameamua ivyo baada ya kuona kwanini wapigane wakati wakongo wenyewe hawako tayari kupigania nchi yao.

Hiki kilichofanywa na wanajeshi hawa ni uasi kwa nchi. Wanajeshi hawa wameacha viapo vyao vya uaminifu kwa taifa lao.

Wakuu mnafikiri kwanini wanajeshi hawa wameamua kuacha kuipambania nchi yao na badala yake wameamua kujisalimisha kwa adui?

shida ni nini hasa?
Wajuvi watatueleza ila kuna mambo ya kufikirisha sana, askari wa kukodiwa analipwa Dola elfu tano kwa mwezi na askari mzawa Dola Mia moja kwa mwezi!! wote mpo jeshi moja la congo.
 
Hizo zilikuwa taarifa za awali/dodoso,lakini taarifa za uhakika zimekuja 2 to 3 days later.

Huyo mwanajeshi mwenye bendera ya rwanda kwenye combat yake unae mwona hapo hayuko kwenye ardhi ya DRC, bali hapo ni mpakani ambao wanakaguliwa kuingia Rwanda.

The same na wale mamluki wa Romania 300 walio kimbilia kambi za MUNOSCO na SADC, badae walihamishiwa Rwanda ili wa flight kwenda kwao.

Na hao wanajeshi wachache wa DRC unao waona hapa wanaingia Rwanda, ni wale wale watutsi ambao ni kabila la kagame, waliamua kuingia Rwanda kwa sababu ni kama nyumbabi tu (chimbuko lao).
 
Wanajeshi wa DRC wamekimbia uwanja wa mapambano na kuamua kujikabidhi kwa mahasimu wao, yani jeshi la Rwanda.

Baada ya kuona hivyo, wanajeshi mamluki zaidi ya 280 toka Romania na Ufaransa waliokodiwa na serikali ya DRC kuwasaidia kwenye maeneo ya kuongoza drones za kivita, snippers na wapiganaji nao wameamua kujisalimisha kwa Kagame. Bila shaka hawa jamaa wameamua ivyo baada ya kuona kwanini wapigane wakati wakongo wenyewe hawako tayari kupigania nchi yao.

Hiki kilichofanywa na wanajeshi hawa ni uasi kwa nchi. Wanajeshi hawa wameacha viapo vyao vya uaminifu kwa taifa lao.

Wakuu mnafikiri kwanini wanajeshi hawa wameamua kuacha kuipambania nchi yao na badala yake wameamua kujisalimisha kwa adui?

shida ni nini hasa?
Nasikia mshahara nao wakusuasua!
 
askari wa kukodiwa analipwa Dola elfu tano kwa mwezi na askari mzawa Dola Mia moja kwa mwezi!! wote mpo jeshi moja la congo
ao mamluki wengi ni experts apo kuna drone operators, wadunguaji (snippers) n.k. wakati ao wazawa unakuta ni ngumbaro washika mitutu tu.
 
Wanajeshi wa DRC wamekimbia uwanja wa mapambano na kuamua kujikabidhi kwa mahasimu wao, yani jeshi la Rwanda.

Baada ya kuona hivyo, wanajeshi mamluki zaidi ya 280 toka Romania na Ufaransa waliokodiwa na serikali ya DRC kuwasaidia kwenye maeneo ya kuongoza drones za kivita, snippers na wapiganaji nao wameamua kujisalimisha kwa Kagame. Bila shaka hawa jamaa wameamua ivyo baada ya kuona kwanini wapigane wakati wakongo wenyewe hawako tayari kupigania nchi yao.

Hiki kilichofanywa na wanajeshi hawa ni uasi kwa nchi. Wanajeshi hawa wameacha viapo vyao vya uaminifu kwa taifa lao.

Wakuu mnafikiri kwanini wanajeshi hawa wameamua kuacha kuipambania nchi yao na badala yake wameamua kujisalimisha kwa adui?

shida ni nini hasa?
Congo DRC ndio wako hivyo toka miaka ya 70 huko. Wanapenda dansi, pombe na wanawake kupita kiasi.😂😂😂🤣🤣🤣🤣
Hata Che Guevara alishawahi kuja Congo kabla hajafa kumsaidia Kabila lakini akamkuta hayuko tayari. Too distracted.
👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿
"Association with Che Guevara
Guevara assisted Kabila and his rebel forces for a few months before Guevara judged Kabila (then age 26) as "not the man of the hour" he had alluded to, being too distracted and his men poorly trained and disciplined."
 
Haahaa mwamba kabila akili zikamrudia uzeeni🤣🤣
 
  • Kicheko
Reactions: rr4
Wakuu mnafikiri kwanini wanajeshi hawa wameamua kuacha kuipambania nchi yao na badala yake wameamua kujisalimisha kwa adui?
Unaipambania nchi, unakufa msituni kisha mtoto wako anashindwa kuendelea na masomo anakuja kuwa bodaboda alafu mtoto wa uliyempigania anakwenda kusomesha Havard kwa Kodi za walalahoi..
 
Wanajeshi wa DRC wamekimbia uwanja wa mapambano na kuamua kujikabidhi kwa mahasimu wao, yani jeshi la Rwanda.

Baada ya kuona hivyo, wanajeshi mamluki zaidi ya 280 toka Romania na Ufaransa waliokodiwa na serikali ya DRC kuwasaidia kwenye maeneo ya kuongoza drones za kivita, snippers na wapiganaji nao wameamua kujisalimisha kwa Kagame. Bila shaka hawa jamaa wameamua ivyo baada ya kuona kwanini wapigane wakati wakongo wenyewe hawako tayari kupigania nchi yao.

Hiki kilichofanywa na wanajeshi hawa ni uasi kwa nchi. Wanajeshi hawa wameacha viapo vyao vya uaminifu kwa taifa lao.

Wakuu mnafikiri kwanini wanajeshi hawa wameamua kuacha kuipambania nchi yao na badala yake wameamua kujisalimisha kwa adui?

shida ni nini hasa?

View: https://www.instagram.com/p/DFhlXP8MJJQ/?igsh=MXA4MjEzbDl5Nmh3bw==
 
Wakongo wanaweza kununua suti za mamilioni na kiatu kutoka france
Kama wakikosa hivyo na kuona vita tu basi wanaamua kukimbia
Screenshot_20250201_123306_Google~2.png
 
Kipindi cha.vita na Uganda wengi walifoj kuumwa na wengine kvua gwanda wakakimbia😀
anko wa jamaa yangu alikuwa mjed sasa bwana siku iyo zimekuja taarifa wanatakiwa kwenda sehem jamaa anasema zaidi ya nusu ya watu pale walidai wanahara🤣🤣
 
Back
Top Bottom