Kwanini wanajeshi wa jeshi DRC wameamua kuasi?

Kumbe
Nilikuwa sijui
Ila jamaa hawa kiboko, niliona mwandishi wa habari akiwahoji
Jamaa wanampeleka mpaka ghetto
Yaani thamani ya nguo ni mara 100 ya makazi yao
ni sahihi kabisa
mtu anavaa nguo na vito vya mamilioni ila sasa ukiona kibanda anacholala unaishia kusikitika tu
 
ni sahihi kabisa
mtu anavaa nguo na vito vya mamilioni ila sasa ukiona kibanda anacholala unaishia kusikitika tu
Wacha hiyo ananunua benzi modern classic anapaki Ofisi kama za CCM kongo hana hata hata sehemu ya kupaki gari anaishi kibanda cha mabati kuta bati na kaezeka bati juu na ni chumba kimoja kwenye eneo lisilopimwa
 
mentality mbovu kabisa hii
 
we ungweza kufia nchi kwa mshahara wa dola 100???
Waati wa kukodi analipwa dola 5000
Mi mwenyewe ningeacha apo bora nikawe mkimbizi!!

Wanasiasa wasio na akili nao n mzigo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…