Kwanini wanaJF wengi wana macho mekundu na wafupi sana?


mkuu achana nao kabisa watu wenye IQ ndogo wana matatizo sana wamekalia majungu tu,me binafsi nshakutana na wanaJF zaidi ya 50 na hawana macho mekundu wala sio wafupi na ni mahandsome balaa
 

hawana shukurani watu......kitu kizuri wafanye wao tu....!
 
mmmh wana macho mekundu? kule kwetu kanda ya ziwa huwa tunasemaa, "huyo mchawi mleteni apale mapanga!"
 
Japo ya zamani ila imebidi nicheke tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kaaazi kweli kweli walahi
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ old is gold wanaJF tubadilike
 
Hahaa. Natangaza rasmi kuhudhuria pati ya kina Mzigua nipate wasaa wa kuthibitisha hilo.
 
[emoji23][emoji23]

Hii ndio jf bana...kuna kila kibweka
 
Saw the title and I started laughing. The thing is if you gon invest in stand up comedy you gon be a star.

Also I, Castr Magige, Southern Zone Representative of SPU (Short People United) agrees with you, fully.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…