Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo kundi la wachache
Mlianza kusema kuwa JF imejaa utapeli, mkawakatisha watu tamaa. Wenye akili wakatoa michango, bado mkaendelea kuwakatisha tamaa kuwa kuna Wana usalama wametumwa ili kuwaangali. Mlipoona mmeshindwa kabisa na safari imefana mkaja na hoja kuwa eti Wana JF wa Dar ni Wanafiki. Bado hamjaridhika na hayo yote mmekuja leo na hili tena. Kha! Ni hatari sana kuwa na watu wa dizaini hii kwenye jamii na ndio maana tunaambiwa tuna IQ ndogo kila siku.

Nitaungana na wewe tuthibitisheHahaa. Natangaza rasmi kuhudhuria pati ya kina Mzigua nipate wasaa wa kuthibitisha hilo.