Kwanini wanajiuzulu? Philip Mpango, Kinana, Job Ndugai, Emmanuel Nchimbi

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,848
Reaction score
63,306
2022: Spika wa bunge Job Ndugai ajiuzulu, Samia aridhia.

2023: Katibu Mkuu CCM Daniel Chongolo ajiuzulu, Samia aridhia.

2024: Makamu Mkiti wa chama cha Mapinduzi Kinana ajiuzulu, Samia aridhia.

2025: Makamu wa Rais Philip Mpango ajiuzulu, Samia aridhia.

2025: Balozi Polepole aliyekuwa Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM ajiuzulu, Samia aridhia.

2026: Makamu wa Rais Emmanuel Nchimbi ajiuzulu, Samia aridhia.

Majaliwa yeye aliambiwa asiguse fomu hata ya ubunge, Tulia yeye aliambiwa apumzike.

Simbachawene, January, Bashungwa, Jenista Mhagama, Lukuvi? Mh!!!

Haiwezekani viongozi wakubwa wasaidizi wake wajiuzulu kwa kipindi kifupi cha uongozi wake, nini kinaendelea lazima kuna tatizo kubwa.

Sura za Tanganyika nakulilia Mama Tanganyika.
 
HQnbvsLaoAII5yW.jpg
 
Polepole, Simbachawene, January, Bashungwa, Jenista Mhagama, Lukuvi?

Haiwezekani viongozi wakubwa wasaidizi wake wajiuzulu kwa kipindi kifupi cha uongozi wake, nini kinaendelea lazima kuna tatizo kubwa.

Sura za Tanganyika nakulilia Mama Tanganyika.
Hawa watu wanaogopa hilo kundi
 
Attachments

  • IMG-20260824-WA0073.jpg
    IMG-20260824-WA0073.jpg
    38.2 KB · Views: 18
2022: Spika wa bunge Job Ndugai ajiuzulu, Samia aridhia.

2024: Makamu Mkiti wa chama cha Mapinduzi Kinana ajiuzulu, Samia aridhia.

2025: Makamu wa Rais Philip Mpango ajiuzulu, Samia aridhia.

2026: Makamu wa Rais Emmanuel Nchimbi ajiuzulu, Samia aridhia.

Majaliwa yeye aliambiwa asiguse fomu hata ya ubunge, Tulia yeye aliambiwa apumzike.

Polepole, Simbachawene, January, Bashungwa, Jenista Mhagama, Lukuvi?

Haiwezekani viongozi wakubwa wasaidizi wake wajiuzulu kwa kipindi kifupi cha uongozi wake, nini kinaendelea lazima kuna tatizo kubwa.

Sura za Tanganyika nakulilia Mama Tanganyika.
Wamechoka, hawawezi kwenda na kasi ya mama
 
Ukiangalia kwa umakini utagundua kuwo wote wanaojiuzulu ni akili kubwa si watu wa mapambio wala nyimbo za kusifu.
Polepole, Mpango, Kinana, na Nchimbi.

Tofauti yao ni kwamba Polepole hakushikiwa mtutu kujiuzulu na hakuandikiwa barua ya kujiuzulu, alifanya mwenyewe kwa maslahi mapana ya taifa la Mungu.

Kwa mantiki hii tatizo liko juu.
 
2022: Spika wa bunge Job Ndugai ajiuzulu, Samia aridhia.

2023: Katibu Mkuu CCM Daniel Chongolo ajiuzulu, Samia aridhia.

2024: Makamu Mkiti wa chama cha Mapinduzi Kinana ajiuzulu, Samia aridhia.

2025: Makamu wa Rais Philip Mpango ajiuzulu, Samia aridhia.

2025: Balozi Polepole aliyekuwa Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM ajiuzulu, Samia aridhia.

2026: Makamu wa Rais Emmanuel Nchimbi ajiuzulu, Samia aridhia.

Majaliwa yeye aliambiwa asiguse fomu hata ya ubunge, Tulia yeye aliambiwa apumzike.

Simbachawene, January, Bashungwa, Jenista Mhagama, Lukuvi? Mh!!!

Haiwezekani viongozi wakubwa wasaidizi wake wajiuzulu kwa kipindi kifupi cha uongozi wake, nini kinaendelea lazima kuna tatizo kubwa.

Sura za Tanganyika nakulilia Mama Tanganyika.
Damu za watu hazitowaacha salama!
 
Simple equation, urais unalindwa na kafara za damu zisikuwa na hatia pamoja na kuwatosa wasaidizi wa karibu.
 
Back
Top Bottom