Kwanini wanajiuzulu? Philip Mpango, Kinana, Job Ndugai, Emmanuel Nchimbi

Kwanini wanajiuzulu? Philip Mpango, Kinana, Job Ndugai, Emmanuel Nchimbi

2022: Spika wa bunge Job Ndugai ajiuzulu, Samia aridhia.

2023: Katibu Mkuu CCM Daniel Chongolo ajiuzulu, Samia aridhia.

2024: Makamu Mkiti wa chama cha Mapinduzi Kinana ajiuzulu, Samia aridhia.

2025: Makamu wa Rais Philip Mpango ajiuzulu, Samia aridhia.

2025: Balozi Polepole aliyekuwa Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM ajiuzulu, Samia aridhia.

2026: Makamu wa Rais Emmanuel Nchimbi ajiuzulu, Samia aridhia.

Majaliwa yeye aliambiwa asiguse fomu hata ya ubunge, Tulia yeye aliambiwa apumzike.

Simbachawene, January, Bashungwa, Jenista Mhagama, Lukuvi? Mh!!!

Haiwezekani viongozi wakubwa wasaidizi wake wajiuzulu kwa kipindi kifupi cha uongozi wake, nini kinaendelea lazima kuna tatizo kubwa.

Sura za Tanganyika nakulilia Mama Tanganyika.
Mpango aliisha msoma mama akaamua kukaa pembeni.alijua huyu mtu si msafi watakuja kuparuana akaamua kujiweka kando ndo maana alimwombea sala Nchimbi
 
Back
Top Bottom