Kwanini wanalaumiwa Polisi na siyo Hamza?
Katika pitapita zangu mitaani nimeshtushwa sana na wananchi badala ya kuhuzunika kwa gaidi kuuwa polisi wetu na badala yake wamegeuka wanawalaumu pili kwa matendo yao ya kubambikizia kesi,dhuluma,uonevu,kuchochea chuki,kuuawa raia wawapo mahabusu nk. Hii inaashiria kiti gani mbona si kawaida?

Napata mshituko mkubwa sana kuona rais wamekosa uzalendo wa kuliamini jeshi lao kiasi hiki. Polisi katika hili wajitafakari sana hii siyo kawaida, sasa watafanyaje kazi ikiwa raia hawatawapa Tena ushirikiano?

Lipo tatizo nadhani, hili jeshi linahitaji Reformation tena ya kikatiba kabisa. Recruitment ya polisi iwe ya hali ya juu sana, jeshi kulaumiwa kiasi hiki si kawaida.
Kumlaumu Hamza ni ku-deal na outcome, ila kuilaumu polisi ni ku-deal na source
 
Jeshi la polisi kwa mapambano yale kamakikosi malum hakina weledi. Haifai kusema kikosi malum ingekua ivyo wangemkamata bila kumuhua
kukamata bila kuua ndio weledi!? mtu kashaua watu wanne ulitaka watake risk kumkamata akiwa mzima Huwez kuwa sahihi hapa.
 
Ratio ya 1:4 nan ana loss hapo ? hata hufikirii mkuu, me sina chama ila wewe utakuwa ccm kuna namna wanaccm huwa mnafanana akili....
ndo mlivo, yoyote akipingana mawazo nawew Ni ccm[emoji706]
hakuna ratio wala Nini, roho zote Zina thaman moja Tena flat. Loss anaijua yule aliyeguswa na vifo vyao.
 
ndo mlivo, yoyote akipingana mawazo nawew Ni ccm[emoji706]
hakuna ratio wala Nini, roho zote Zina thaman moja Tena flat. Loss anaijua yule aliyeguswa na vifo vyao.
sasa kwanini ulileta mambo ya mbowe ? mbona hujibu hilo ? sawa roho zote zina thamani moja ila mpuuz mmoja kaua askari wa nne, what shame alafu kawasumbua one hour, sijawah ona jesh la kipuuz kama police Tanzania...Yan had saivi hujashtuka kuwa jesh lina mambumbumbu wa kutosha ? me4m4 failure imejaa huko...angalia ugoro anaotema sirro ndio utajua hawa vilaza wapoje...Recognize mkuu amka....Kilichotokea ilitakiwa iwe wakeup call kwa hawa majamaa ila bado yamelala...
 
Back
Top Bottom