Kwanini wanamuziki wa Tanzania hawapendani na kushirikiana kama wa Nigeria?

Kwanini wanamuziki wa Tanzania hawapendani na kushirikiana kama wa Nigeria?

Umeniwahi. Hakuna nchi yenye ''umimi'' kama Nigeria. Hawa jamaa nimekutana nao sana ughaibuni. Wanabaguana sana. Naona mwanzisha thread hajui ile methali isemayo kitanda usichokilalia, hujui kunguni wake.
we jama unachekesha sana hamna watu wana umoja na kusaidian kama Nigeria mm ninaish nao ten wa makabila yote makubwa
 
we jama unachekesha sana hamna watu wana umoja na kusaidian kama Nigeria mm ninaish nao ten wa makabila yote makubwa
Unawajua kijuu juu. Na kusema ukweli ukiona wanavyoishi (kama hujaingia kwenye inner circles zao) utaamini wana ushirikiano sana. Lakini hiyo ni kijuu juu tu.
 
Elimu Elimu Elimu.

Tanzania inawajinga wengi waliozalishwa na huu mfumo mbovu wa Elimu yetu.

Mtu anaamini ili awepo nandy lazima ruby ashushwe au ili awepo mboso lazima aslay ashuswe au ili awepo kiba au chibu inabidi mmojawapo asiwepo kabisa...

Salut Mkuu. Mchango wako huu umenikumbusha wimbo mmoja uitwao 'MANENO' by Nash Mc.

-Kaveli-
 
Attachments

Back
Top Bottom