Gef
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 500
- 433
webjamaa una akili sanaamini hvo bongo kutwa mtandaoni kupost majungu tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
webjamaa una akili sanaamini hvo bongo kutwa mtandaoni kupost majungu tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]webjamaa una akili sana
Umeniwahi. Hakuna nchi yenye ''umimi'' kama Nigeria. Hawa jamaa nimekutana nao sana ughaibuni. Wanabaguana sana. Naona mwanzisha thread hajui ile methali isemayo kitanda usichokilalia, hujui kunguni wake.Acha Uongo, Nigerian Hawapendani We Hujui Tu.
we jama unachekesha sana hamna watu wana umoja na kusaidian kama Nigeria mm ninaish nao ten wa makabila yote makubwaUmeniwahi. Hakuna nchi yenye ''umimi'' kama Nigeria. Hawa jamaa nimekutana nao sana ughaibuni. Wanabaguana sana. Naona mwanzisha thread hajui ile methali isemayo kitanda usichokilalia, hujui kunguni wake.
Unawajua kijuu juu. Na kusema ukweli ukiona wanavyoishi (kama hujaingia kwenye inner circles zao) utaamini wana ushirikiano sana. Lakini hiyo ni kijuu juu tu.we jama unachekesha sana hamna watu wana umoja na kusaidian kama Nigeria mm ninaish nao ten wa makabila yote makubwa
Elimu Elimu Elimu.
Tanzania inawajinga wengi waliozalishwa na huu mfumo mbovu wa Elimu yetu.
Mtu anaamini ili awepo nandy lazima ruby ashushwe au ili awepo mboso lazima aslay ashuswe au ili awepo kiba au chibu inabidi mmojawapo asiwepo kabisa...
Salut Mkuu. Mchango wako huu umenikumbusha wimbo mmoja uitwao 'MANENO' by Nash Mc.
-Kaveli-
hii ngoma nash ameimba Sana na ameelezea vizuri sana kuhusu mziki wa bongo
hivi mkuu una wimbo WA nash maswali ya kiwaki?
Yep mkuu,... sikiliza majawabu ya ZUZU a.k.a Maalim Uchebe kwenye maswali hayo:
-Kaveli-