Let me tell u something,
Ati kwa sbbu waznzbar wanalelelwa na kukulia ktk maadili mema,
Sii sbbu ya kusema kuwa hatuna tabia mbaya .
Kwa hakika dunia imebedlka ndo maana licha ya kuwa wazazi wanatulea ktk maadili ila mwisho wa siku tunabadlika ati tunaenda na wakat
Ila suala la kuwa shoga ni maamzi ya mtu binafsi ,kila sehemu kuna mashoga,
Musijitie upofu wakat muna macho ,tatzo la USHOGA na mengne kama usagaji ni tatzo ya jamii zote duniani.
Ila nyinyi munavyosema ni kama kwamba waznzbar ndo mchezo wetu,wakat kiuhalisia dunia nzima suala la ushoga lipo .
Munachaa kuwajadili watu wa Europe,munatujadili sisi,wakat wao wamefikia hatua za kuhalalisha ndoa za jinsia moja, wao Wana porn za wanaume kwa wanaume,
Ktk TANZANIA hii mashoga maarufu wanatokea wapi? James delicious ni mzenji? ,
Tusitupiane mzigo wa mawe wakat tatzo ni la jamii yote, sio znz tuu hata nyinyi muna hivyo vitabiaa.
[emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34].
NYAANI HAONI KUNDULEEE ,
Huyu mwanamuziki wa Zanzibar anaitwa nani, na ni kwa nini wanamuziki wengi wa kiume Zanzibar wapo hivi?
Wakati ile ni nchi ya maadili sana kuliko kawaida?
Mara nyingi Wazanzibar wamekuwa wakisema watu wa bara ndio hawana maadili
View attachment 1325640
Sent using
Jamii Forums mobile app
Sent using
Jamii Forums mobile app