Kwanini Wanamuziki wengi wa kiume kutoka Zanzibar wapo hivi?

Kwanini Wanamuziki wengi wa kiume kutoka Zanzibar wapo hivi?

Mbona instagram wamejaa na wanapewa promo na Tanzanias sweetheart. Sijawahi ona wamefanywa chochote
wanaishia huko huko mtandaoni, kwenye tv hawafiki mzee..Huyo unamuona kapewa hadi kazi ya kuimba wimbo wa chama na Serikali kuhusu mapinduzi
 
Back
Top Bottom