Ng'wanapagi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 9,116
- 8,652
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndio maana hawataki Muungano ili wajitawale wao kwa wao.
Kuna bar karibia na uwanja wa Amani ukiwa unaenda mjini ni mkono wa kushoto pale nusra niuziwe shoga maana nilikuwa sijawafahamu kivileNiko zanzibar mwaka wa 4 sasa, zanzibar kuna ufirauni wote kuliko unavyojua hata bara akuoni ndani ila wamejificha kwenye udini na mimi wiki iliyoisha kidogo niopoe shoga pale amani (ccm) nikakataa ila mashoga ni wengi zenji
Sent using Jamii Forums mobile app
Shoga wakupe ccm.. Halafu ulaumu waznz akili ipo sawa kweli?Niko zanzibar mwaka wa 4 sasa, zanzibar kuna ufirauni wote kuliko unavyojua hata bara akuoni ndani ila wamejificha kwenye udini na mimi wiki iliyoisha kidogo niopoe shoga pale amani (ccm) nikakataa ila mashoga ni wengi zenji
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwo ufiraini kama upi uliofichwa kwenye dini?Niko zanzibar mwaka wa 4 sasa, zanzibar kuna ufirauni wote kuliko unavyojua hata bara akuoni ndani ila wamejificha kwenye udini na mimi wiki iliyoisha kidogo niopoe shoga pale amani (ccm) nikakataa ila mashoga ni wengi zenji
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeeeeees!! Ila mie nilitoka huko 2008 najua kwa sasa mitaa ya forodhani watu wanajamba ovyo ovyo maana si kwa ushoga huo niliouacha huko. Nilipenda weekend kwenda Forodhan pale Beach kunywa juice ya bungo na kipindi hicho ndipo Serikali ilikuwa inafanya matengenezo makubwa hapo Forodhani jirani na Ngome Kongwe
Usigeneralize kiasi icho!Yeeeeees!! Ila mie nilitoka huko 2008 najua kwa sasa mitaa ya forodhani watu wanajamba ovyo ovyo maana si kwa ushoga huo niliouacha huko. Nilipenda weekend kwenda Forodhan pale Beach kunywa juice ya bungo na kipindi hicho ndipo Serikali ilikuwa inafanya matengenezo makubwa hapo Forodhani jirani na Ngome Kongwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio hivyo tena kuna kauli zinatuponzaPoa mkuu nimekuelewa na asante kwa kunielewesha. Unajua watu wa Bara kama mimi tunapoona misikitiki kila baada ya mita 100 tunaamini ni nchi takatifu kama ilivyo Macca
Sent using Jamii Forums mobile app
Hypocrites everywhere. Angalia hata sehemu anayosema zana za asilia wameoneaha bunduki. Sidhani kama bunduki ni zana asilia aisee.
duh, mzeee acha masihara