Kwanini wanamziki wa Twanga Pepeta wamepukutika?

mgt software

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
13,778
Reaction score
7,145
wana Jamvi,

Ni suala la kushangaza sana kwa takribani ya miaka mitatu sasa, tumesikia vifo vingi vya wasanii wa Twanga pepeta.

Tumekosa sana waburudishaji ambao walizikonga nyoyo zetu. Ni njia gani itumie kuwaookoa kwani idadi inatisha?

Mlolongo wa vifo unasemekana kutokana na maradhi ya kisasa na Dawa za kulevya. sijajua kwanini wanajiingiza uvutaji wa madawa haya.

Angalia Banza Stone, Diana Aston Villa, Halima White, Amigolas, Baba Diana, Aisha Madinda na wengine wengi.

Labda Mkurugenzi wao awatafutie namna ya kujikinga na vitu hivi kama kujamiana, pamoja na stress zinazowafanya waingie uvutaji wa madawa. Hivi sasa Mango kisiwa cha burudani kimekufa, hapo bado kupiga mziki kwa kiingilio cha bia kama walivyo FM Academia.
 
Twanga Pepeta super stars kuanzia waimbaji hadi madancer wanafanya kazi kubwa sana ila malipo hayaendani na wanachokifanya ukizingatia kila show wanaingiza mtu nyomi hatari. Hiyo ndo sababu kuu na si vinginevyo. Btw nimewamiss Tam tam ya akina aminna ngaluma hatari.
 
Yaani hakuna msichana alikuwa anawalaza vibaya wanaume kama Aisha Madinda, akiaanza kucheza pale stageni karibia wanaume wengi mbele panatuna, kijiti kile kimemwonda jamani.
 
Hivi kuna yule mdada LILIAN INTERNET yupo?,

Aisee ,!!yule mdada kuna siku nipo pale magomeni annex walikuwa wanapiga. TWANGA PEPETA,,,

Ikafika muda wa AMSHA AMSHA,,,,
rapa wao MSAFIRI DIOF ,,,,
alianza na "MINGOI,,,MINGOI,,,CAMERA,,"[emoji443][emoji441] CAMERA,,[emoji443][emoji441],

Basi muda huo wale warembo WACHEZA SHOO,,
wakiongozwa na marehemu AISHA MADINDA,,,
walianza kuzunguka ukumbi mzima huku wakitafuta MTU wa kumzungushia NYONGA,,

Bahati ikaniangukia kwa LILIAN INTERNET,,
Mtoto alikuwa na kiuno lainii'',

Alikuja akanikalia MAPAJANI,,,
HUKU akizungusha NYONGA ,,
kama FENI BOVU,,,,

Aisee,,,JEGEJE LANGU likikuwa kwenye wakati mgumu sana,,,,
ingekuwa mchana ningehadhirika MTU MZIMA,, ,,,,

Nilikuwa nahisi kabisa WAZUNGU WAPO AIRPORT tayari kushuka,,,,

yule mdada alikuwa hatari sana,,,,

Nilichofanya nilichukuwa noti ya elfu KUMI ,
nikafinyanga na namba ya Simu nikamfinyia kwenye CHUPI,,,, sikukubali KUFA KIINGEREZA,,,,

Kwhyo wakuu ,,hawa WACHEZA SHOW kuwaepuka yataka uwe na ROHO YA CHUMA,,

especially kama upo nao KARIBU....

Hao jamaa WAMEKULANA wao kwa wao..ndy tatizo linaanzia hapo...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nini kilifatia?
 
Tatizo kubwa la Band watu wanachukuana humo humo .

Dada mmoja anaweza akatoka na wanaume hata watatu, na hao wanaume watatu nao wanawachukua wengine humo humo yaana inakuwa ni ting'iling'asa.

Virusi vinatoka kwa huyu vinaenda kwa yule na yule nae anapeleka kwa yule , hivyo wanajikuta wote wameanza "kujikuna"
 
Ila baba Diana alipata Ajali ya kugongwa na Fiat 682N3 iliyokuwa imesheheni cement toka wazo hill baba D akiwa na pikipiki ngoma ikampitia akawa chapati kabisa take maeneo ya tangi bovu jirani kabisa na home kwake, rip baba Diana baba D
 
Ila baba Diana alipata Ajali ya kugongwa na Fiat 682N3 iliyokuwa imesheheni cement toka wazo hill baba D akiwa na pikipiki ngoma ikampitia akawa chapati kabisa take maeneo ya tangi bovu jirani kabisa na home kwake, rip baba Diana baba D
Mkuu huyo siyo Abuu swemwandoooo?

Daima toa bila kukumbuka na Pokea bila kusahau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…