Kwanini wanamziki wa Twanga Pepeta wamepukutika?

Kwanini wanamziki wa Twanga Pepeta wamepukutika?

Ni zaidi ya hatari mkuu. Bado yupo hai MCD?

Nalisikiliza tumba lake kwenye Sumu ya Mapenzi, huyu jamaa alikuwa ni hatari fire.
Nadhani ni marehemu sasa hivi, nafasi yake kuna dada mmoja ameichukua na anaietendea haki vizuri tu!
 
Hivi kuna yule mdada LILIAN INTERNET yupo?aisee yule mdada kuna siku nipo pale magomeni annex walikuwa wanapiga. TWANGA PEPETA,,,ikafika muda wa AMSHA AMSHA,,,,nakumbuka rapa wao MSAFIRI DIOF ,,,,alianza na MINGOI,,,MINGOI,,,CAMERA,, CAMERA,,basi muda huo wale warembo WACHEZA SHOO,, wakiongozwa na marehemu AISHA MADINDA,,,walianza kuzunguka ukumbi mzima huku wakitafuta MTU wa kumzungushia NYONGA,,bahati ikaniangukia kwa LILIAN INTERNET,,alikuja akanikalia MAPAJANI,,,HUKU akizungusha NYONGA...kama FENI BOVU,,,,aisee,,,JEGEJE LANGU likikuwa kwenye wakati mgumu sana,,,,ingekuwa mchana ningehadhirika MTU MZIMA,, ,,,,nilikuwa nahisi kabisa WAZUNGU WAPO AIRPORT tayari kushuka,,,,yule mdada alikuwa hatari sana,,,,nilichofanya nilichukuwa KUMI nikafinyanga na namba ya Simu nikamfinyia kwenye CHUPI,,,, sikukubali KUFA KIINGEREZA,,,,kwhyo wakuu hawa WACHEZA SHOW kuwaepuka yataka uwe na ROHO YA CHUMA,,especially kama upo nao KARIBU....hao jamaa WAMEKULANA wao kwa wao..ndy tatizo linaanzia hapo..

Sent using Jamii Forums mobile app
haya sasa washakupandisha genye na wewe umewawekea kwenye vyupi na hawana mtu siku hilo hapo lazima walane aisee, maana wengi wanawaoogopa wanadhani gharama kubwa aiseee, ila ulikula rahaaa, kama vile nakuona mtoto liliani anavyokutesa kunako wazungu,. acha wazungu wachungulie kinoma. yani , hakika mango na twanga kilikuwa kisiwa ch burudani, sasa ni mapangale kwa kwenda mbele.
 
Alikutafuta??hebu maliza story kama ulitafuna mkuu
Hivi kuna yule mdada LILIAN INTERNET yupo?aisee yule mdada kuna siku nipo pale magomeni annex walikuwa wanapiga. TWANGA PEPETA,,,ikafika muda wa AMSHA AMSHA,,,,nakumbuka rapa wao MSAFIRI DIOF ,,,,alianza na MINGOI,,,MINGOI,,,CAMERA,, CAMERA,,basi muda huo wale warembo WACHEZA SHOO,, wakiongozwa na marehemu AISHA MADINDA,,,walianza kuzunguka ukumbi mzima huku wakitafuta MTU wa kumzungushia NYONGA,,bahati ikaniangukia kwa LILIAN INTERNET,,alikuja akanikalia MAPAJANI,,,HUKU akizungusha NYONGA...kama FENI BOVU,,,,aisee,,,JEGEJE LANGU likikuwa kwenye wakati mgumu sana,,,,ingekuwa mchana ningehadhirika MTU MZIMA,, ,,,,nilikuwa nahisi kabisa WAZUNGU WAPO AIRPORT tayari kushuka,,,,yule mdada alikuwa hatari sana,,,,nilichofanya nilichukuwa KUMI nikafinyanga na namba ya Simu nikamfinyia kwenye CHUPI,,,, sikukubali KUFA KIINGEREZA,,,,kwhyo wakuu hawa WACHEZA SHOW kuwaepuka yataka uwe na ROHO YA CHUMA,,especially kama upo nao KARIBU....hao jamaa WAMEKULANA wao kwa wao..ndy tatizo linaanzia hapo..

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wana Jamvi,

ni suala la kushangaza sana kwa takribani ya miaka mitatu sasa, tumesikia vifo vingi vya wasanii wa Twanga pepeta. tumekosa sana waburudishaji ambao walizikonga nyoo zetu. Ni njia gani itumie kuwaookoa kwani idadi inatisha. Mlolongo wa vifo umetokana na maradhi ya HIV na Madawa ya kulevya, sijajua kwa nini wanajiingiza uvutaji wa madawa haya. Angalia banza, stone, Diana astoni vila, , halima white, amiglas, baba diana, Aisha madinda, na wengine wengi. labda, mkurugenzi wao awatafutie namna ya kujikinga na vitu hivi, kama kujamiana, pamoja na stress zinazowafanya waingie uvutaji wa madawa. hivi sasa mango kisiwa cha burudani kimekufa , hapo bado kupiga mzikikwa kiingilio cha bia kama walivyo FM Academia.
Siyo wote wametangulia kwa sababu ulizozitaja. Kwa kumbukumbub zangu, Baba Diana(Abu Semhando) alikufa kwa ajali ya gari kugonga pikipiki yake,nafikiri kule Makonde-Mbezi Beach.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom