Kwanini wanamziki wa Twanga Pepeta wamepukutika?

Ni zaidi ya hatari mkuu. Bado yupo hai MCD?

Nalisikiliza tumba lake kwenye Sumu ya Mapenzi, huyu jamaa alikuwa ni hatari fire.
Nadhani ni marehemu sasa hivi, nafasi yake kuna dada mmoja ameichukua na anaietendea haki vizuri tu!
 
haya sasa washakupandisha genye na wewe umewawekea kwenye vyupi na hawana mtu siku hilo hapo lazima walane aisee, maana wengi wanawaoogopa wanadhani gharama kubwa aiseee, ila ulikula rahaaa, kama vile nakuona mtoto liliani anavyokutesa kunako wazungu,. acha wazungu wachungulie kinoma. yani , hakika mango na twanga kilikuwa kisiwa ch burudani, sasa ni mapangale kwa kwenda mbele.
 
Alikutafuta??hebu maliza story kama ulitafuna mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siyo wote wametangulia kwa sababu ulizozitaja. Kwa kumbukumbub zangu, Baba Diana(Abu Semhando) alikufa kwa ajali ya gari kugonga pikipiki yake,nafikiri kule Makonde-Mbezi Beach.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…