Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Moto unaanza aje?Hilo soko halina vizuizi vya kuzuia moto kuteketeza kila kitu... kiufupi sio soko ni mabanda ya hovyo tu mbao na nylons zimejaa
Bwashee hujameza vidonge vyako leo?Suugu!
Dhana hii ndiyo inayozungumzwa na Watu wengi mno, kutokana na mazingira yalivyo inaaminika kwamba masoko haya yanapigwa kiberiti, japo haijatajwa hasa ni yupi anayefanya unyama huo.
Lengo langu si kufanya uchochezi, nilichozingatia ni ile methali isemayo MFICHA UCHI HAZAI au MFICHA MARADHI MAUTI HUMUUMBUA, hii ni kwa vile 99% ya raia hawaamini kama moto huu ni ajali, sasa tukiacha hali hii bila kujadili hapa JF na kutafuta ufumbuzi inaweza kuleta mkanganyiko mkubwa sana.
Jambo hili ni lazima lijadiliwe ili kupata Ukweli. Je, ni kweli masoko haya yanachomwa moto au ni ajali tu za kawaida?
Naomba kuwasilisha
Jibu wanalo hao 99% ya raia (sijui ni kwa utafiti upi?).

SijaonaUmewahi kuona report yoyote ya chanzo na sababu za moto. Kuanzia Mwanjelwa, Kariakoo na masoko mengine mengi hakunaga maelezo yanayojitosheleza. Wacha wananchi waamini
Kuna report ya moto umewahi ona? Itakuwa muujiza tukipewa. Wanajua Watanzania ni wa kusahau.ngoja tuone kamati inakuja na nini, tuliofuatilia vyombo mbali mbali vya habari nadhani tutakuwa na kitu hasa tukikumbuka ushuhuda wa mhanga mmoja ambaye yeye alisema yu tayari kuwa shahidi na aliona tukio zima
Wakati wa jiwe shule ndio zilikua zinateketea kila siku, hususani shule za ndugu zetu wa upande ule.Mnyonge mnyongeni lakini mpatiani haki,,hivi kwanini wakati wa jiwe hapakuwa kuchoma masoko lakini wakati wa kikwete na sasa wakati wa samia ndo mambo yamepamba moto.
Jiulize hili mkuuDhana hii ndiyo inayozungumzwa na Watu wengi mno, kutokana na mazingira yalivyo inaaminika kwamba masoko haya yanapigwa kiberiti, japo haijatajwa hasa ni yupi anayefanya unyama huo.
Lengo langu si kufanya uchochezi, nilichozingatia ni ile methali isemayo MFICHA UCHI HAZAI au MFICHA MARADHI MAUTI HUMUUMBUA, hii ni kwa vile 99% ya raia hawaamini kama moto huu ni ajali, sasa tukiacha hali hii bila kujadili hapa JF na kutafuta ufumbuzi inaweza kuleta mkanganyiko mkubwa sana.
Jambo hili ni lazima lijadiliwe ili kupata Ukweli. Je, ni kweli masoko haya yanachomwa moto au ni ajali tu za kawaida?
Naomba kuwasilisha
mkuu ni hivi wengi tunataka kila kitu kiwekwe kwenye vyombo vya habari na hivyo vyombo vya habari haviwezi kurusomea ama kutuambia kilakitu wao wanatoa vile ambavyo wanaona vitawavuta wengi kwa wakati huo,Kuna report ya moto umewahi ona? Itakuwa muujiza tukipewa. Wanajua Watanzania ni wa kusahau.
Basi kama hawawezi kuziweka hadharani, hakuna maana ya kutangaza uchunguzi hadharani.mkuu ni hivi wengi tunataka kila kitu kiwekwe kwenye vyombo vya habari na hivyo vyombo vya habari haviwezi kurusomea ama kutuambia kilakitu wao wanatoa vile ambavyo wanaona vitawavuta wengi kwa wakati huo,
Hizo riport ni mpaka uzitake ndo utazipata na hata hii kama ukihitaji utaipata