Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
Usipende kuhalalisha Mambo yako kwa hisia zako. Umeenda kwenye mitandao mingine ukakuta hali ni tofauti??View attachment 3170961
Baada ya kusoma maoni ya baadhi ya wenzetu humu ilipotangazwa ajali ya gari iliyowahusisha wabunge, nimepigwa butwaa na kuibua maswali.
Mosi, kwanini wabunge wanachukiwa hivi?
Pili, wafanye nini hii chuki iondoke?
Tatu, wamepokeaje, kama wamepokea mwitikio huu?
Nne, chama chao nacho kinasemaje?
Tano, spika ambaye wengi wameonyesha kumuombea afe anajitafakarije kwa hali hii?
Sita, jibu ni kuwachukia au kuhakikisha hawarejei uchguzi ujao?
Saba, tatizo ni wabunge au wapiga kura wanaohongwa udohoudoho?
Nane, tatizo ni tume mbovu ya uchaguzi inayochakachua uchaguzi?
Naomba kuwasilisha
Tumia akili japo kidogo. Nimekuwa specific kuwa ni baadhi ya wana JF. Najua kufanya utafiti na ni mtafiti siyo wa kuungaunga mwanangu hata kama nimezeeka.Usipende kuhalalisha Mambo yako kwa hisia zako. Umeenda kwenye mitandao mingine ukakuta hali ni tofauti??
COMMENTS ZA WANANCHI KTK MITANDAO BAADA YA WABUNGE KUPATA AJARI:
1. TBC waliochangia mpaka sasa ni 539, kati yao 506 wamewatakia kifo na 33 wametoa pole
2. AZAM TV waliochangia hadi sasa ni 161, kati yao 157 wamewatakia wabunge kifo na 4 wametoa pole
3. KITENGE, waliochangia hadi sasa ni 77, wote wamewatakia kifo wabunge.
4. EATV, waliochangia 36, 1 ameonyesha huruma na 35 wamewatakia wabunge kifo.
Hii nimeikuta mahali. Je hao nao ni wana JF??
Wa kutumia akili ni Wewe Sio Mimi, Ajali haijatokea JF humu, why umea-adress JF tu?? Una lako jambo wewe. NajuaTumia akili japo kidogo. Nimekuwa specific kuwa ni baadhi ya wana JF. Najua kufanya utafiti na ni mtafiti siyo wa kuungaunga mwanangu hata kama nimezeeka.
Sawa hakuna shida, nitatumia akili, asante Sana. Turudi kwenye thread au tuendelee??Tumia akili japo kidogo. Nimekuwa specific kuwa ni baadhi ya wana JF. Najua kufanya utafiti na ni mtafiti siyo wa kuungaunga mwanangu hata kama nimezeeka.
Ajabu, siku ya uchaguzi wote wanapita hata kama marehemu. Nani wanawachaguaga?Usipende kuhalalisha Mambo yako kwa hisia zako. Umeenda kwenye mitandao mingine ukakuta hali ni tofauti??
COMMENTS ZA WANANCHI KTK MITANDAO BAADA YA WABUNGE KUPATA AJARI:
1. TBC waliochangia mpaka sasa ni 539, kati yao 506 wamewatakia kifo na 33 wametoa pole
2. AZAM TV waliochangia hadi sasa ni 161, kati yao 157 wamewatakia wabunge kifo na 4 wametoa pole
3. KITENGE, waliochangia hadi sasa ni 77, wote wamewatakia kifo wabunge.
4. EATV, waliochangia 36, 1 ameonyesha huruma na 35 wamewatakia wabunge kifo.
Hii nimeikuta mahali. Je hao nao ni wana JF??
Wewe huwachukii?Mosi, kwanini wabunge wanachukiwa hivi?
Sijui kama unajua unachoandika. Kwanini unakuwa kama hamnazo? Nimesema humu JF siyo kwenye hiyo mitandao yako. Unasema nime-adress JFtu. Unamaanisha address? Kwenye utafiti lazima uwe na eneo dogo ili kupata sampli inayoweza kuwakilisha eneo kubwa. Kama umekwenda shule na umesoma somo la utafiti utanielewa. Kama siyo, nasikitika.Wa kutumia akili ni Wewe Sio Mimi, Ajali haijatokea JF humu, why umea-adress JF tu?? Una lako jambo wewe. Najua
Naoma tumehamia kwenye makosa ya spelling na Sio hoja tena sio? Haya tuendelee.Sijui kama unajua unachoandika. Kwanini unakuwa kama hamnazo? Nimesema humu JF siyo kwenye hiyo mitandao yako. Unasema nime-adress JFtu. Unamaanisha address? Kwenye utafiti lazima uwe na eneo dogo ili kupata sampli inayoweza kuwakilisha eneo kubwa. Kama umekwenda shule na umesoma somo la utafiti utanielewa. Kama siyo, nasikitika.
Siyo hiyo tu. Nimetoa hoja kuhusiana na weledi katika utafiti na miiko yake.Naoma tumehamia kwenye makosa ya spelling na Sio hoja tena sio? Haya tuendelee.
POLISI wa CCMAjabu, siku ya uchaguzi wote wanapita hata kama marehemu. Nani wanawachaguaga?
Hahahaha sawa, kwahio tuendelee na hoja au??Siyo hiyo tu. Nimetoa hoja kuhusiana na weledi katika utafiti na miiko yake.
Angalau umeanza kuona mwanga. Sasa jibu hoja ya msingi niliyoanzisha tuendelee.Hahahaha sawa, kwahio tuendelee na hoja au??
Pamoja na zile kura za bao la mkono la Nape wapiga kura wengi siyo watu wa mitandaoni.Ajabu, siku ya uchaguzi wote wanapita hata kama marehemu. Nani wanawachaguaga?
Hoja yako ni ipi? Kwanini kuhangaika na mitandao mingi wakati kiutafiti jf inatosha na unaweza hata ukaandika thesis tha PhD kwa kutumia data za jf na kubakisha?Kwakua mtu mmoja anaweza kua na access ya kucomment JF, X, FB na YouTube kwa majina tofauti tofauti hatuwezi rule out kwamba kwa mfano jumla ya watu 1000 wameonyesha chuki kwenye mitandao ya X, FB, YouTube, WhatsApp status, Na pages za habari.
Katika hao 1000 pengine ni 50 tu ndiyo hawakucomment kokote kwingine isipokua JF tu. Hivyo basi tukifananisha tutaona haters wa JF ni wachache na real number ni ndogo zaidi kwakua mtu ana access ya kucomment social media zingine.
Sijawahi kuwafagiliaUsipende kuhalalisha Mambo yako kwa hisia zako. Umeenda kwenye mitandao mingine ukakuta hali ni tofauti??
COMMENTS ZA WANANCHI KTK MITANDAO BAADA YA WABUNGE KUPATA AJARI:
1. TBC waliochangia mpaka sasa ni 539, kati yao 506 wamewatakia kifo na 33 wametoa pole
2. AZAM TV waliochangia hadi sasa ni 161, kati yao 157 wamewatakia wabunge kifo na 4 wametoa pole
3. KITENGE, waliochangia hadi sasa ni 77, wote wamewatakia kifo wabunge.
4. EATV, waliochangia 36, 1 ameonyesha huruma na 35 wamewatakia wabunge kifo.
Hii nimeikuta mahali. Je hao nao ni wana JF??
Ingawa tukifuatisha unachosema tutafanya generalisation fallacy mimi ninakubaliana na wewe kwamba jf ni sehemu pekee ya kutoa data.Hoja yako ni ipi? Kwanini kuhangaika na mitandao mingi wakati kiutafiti jf inatosha na unaweza hata ukaandika thesis tha PhD kwa kutumia data za jf na kubakisha?