Old Member (Retired)
JF-Expert Member
- Sep 29, 2012
- 3,401
- 1,610
Si mara zote, ila mara nyingi unakuta mtu anayefundisha na kuhamasisha wenzien wasitegemee ajira bali wawe wajasiriamali unakuta yeye hana hata genge la nyanya, hivi ni kwanini wadau? au ndio fata ninayokwambia usifate ninayotenda.
Ukienda chuo kikuu cha dar es salaam kuna wahadhiri wengi na wazuri hasa kwenye kufundisha lakini wao hamna wanachotegemea kuwaingizia pesa zaidi ya ajira, nafaham ni dhahiri kuwa wote hatuwezi kuwa wajasiriamali lakini kwanini watu hawa hawabadilishi ule uwezo wa kufundisha kwenda kwenye vitendo?????