KWANINI???? Wanaofundisha ujasiriamali si wajasiriamali

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2012
Posts
3,401
Reaction score
1,610
Si mara zote, ila mara nyingi unakuta mtu anayefundisha na kuhamasisha wenzien wasitegemee ajira bali wawe wajasiriamali unakuta yeye hana hata genge la nyanya, hivi ni kwanini wadau? au ndio fata ninayokwambia usifate ninayotenda.

Ukienda chuo kikuu cha dar es salaam kuna wahadhiri wengi na wazuri hasa kwenye kufundisha lakini wao hamna wanachotegemea kuwaingizia pesa zaidi ya ajira, nafaham ni dhahiri kuwa wote hatuwezi kuwa wajasiriamali lakini kwanini watu hawa hawabadilishi ule uwezo wa kufundisha kwenda kwenye vitendo?????
 
Dhana ya ujasiliamali ni pana sana na wenye tunaweza kuwachukulia kama intrapreneurs yaani mtu ambaye anafanya mambo kijasiliamali japokuwa kaajiriwa ama anafanya kazi kwenye firm ya mtu mwingine
 
SLIM SHADE Nasikia kwa waganga wa kienyeji, watu hupeleka kuku ili wapate utajiri. Jiulize, kwanini hao waganga wanaendelea kuokoteza "kuku" na vishilingi 10,000 wanaacha kujipa dawa wenyewe wawe matajiri?
 
Last edited by a moderator:
kwan ww ujasiriamali unauelewaje??
labda nikusaidie tu!!
hawafundish kwa kuwa ujasiriamali wao ni kukufundisha weww na wengine ujasiriamali!
 
Dhana ya ujasiliamali ni pana sana na wenye tunaweza kuwachukulia kama intrapreneurs yaani mtu ambaye anafanya mambo kijasiliamali japokuwa kaajiriwa ama anafanya kazi kwenye firm ya mtu mwingine

unaweza kunielimisha kwa mifano katika hilo mkuu?
 
Si mara zote, ila mara nyingi unakuta mtu anayefundisha na kuhamasisha wenzien wasitegemee ajira bali wawe wajasiriamali unakuta yeye hana hata genge la nyanya, hivi ni kwanini wadau? au ndio fata ninayokwambia usifate ninayotenda.

Ukienda chuo kikuu cha dar es salaam kuna wahadhiri wengi na wazuri hasa kwenye kufundisha lakini wao hamna wanachotegemea kuwaingizia pesa zaidi ya ajira, nafaham ni dhahiri kuwa wote hatuwezi kuwa wajasiriamali lakini kwanini watu hawa hawabadilishi ule uwezo wa kufundisha kwenda kwenye vitendo?????

Kitendo cha wewe kufundishwa na kununua pamplet kwake ni ujasiriamali.
Kwenye fursa tulidanganywa kuwa utume msg upate bajaj, na wengi walituma msg.
 
ndivyo ilivyo kila sehemu kuanzia nursery school hadi chuo kikuu wanaofundisha sio lazima wawe wanafanya vitu hivyo,kwa kesi yako....tambua pia kitendo cha yeye kufundisha ujasiriamali tayari ni UJASIRIAMALI!ujasiriamali sio kuuza genge bali kwa ujumla wake ni kutambua fursa zilizopo na kuzitumia kufanikisha malengo yako ktk maisha
 
kwahiyo hata mimi nikiajiriwa kuwa auditor, ina maana ujasiriamali wangu ni kukagua mahesabu?
au nikiajiriwa mwalimu ina maana ujasiriamali wangu ni kufundisha wanafunzi?? sijui nimeenda sawa na ulichokisema?
 
you buy nothing from them, yani wewe unalipa ada na fedha yote inaingia kwenye chuo na readings zao zote wanakupa lakini pesa haiwi yao binafsi ila ni ya chuo. wenyewe wanasubiri mishahara tu
 
He who can, does. He who cannot, teaches.End of qoute Bernard Shaw British Playwrite critic.
 
Si mara zote, ila mara nyingi unakuta mtu anayefundisha na kuhamasisha wenzien wasitegemee ajira bali wawe wajasiriamali unakuta yeye hana hata genge la nyanya, hivi ni kwanini wadau? au ndio fata ninayokwambia usifate ninayotenda.

Ukienda chuo kikuu cha dar es salaam kuna wahadhiri wengi na wazuri hasa kwenye kufundisha lakini wao hamna wanachotegemea kuwaingizia pesa zaidi ya ajira, nafaham ni dhahiri kuwa wote hatuwezi kuwa wajasiriamali lakini kwanini watu hawa hawabadilishi ule uwezo wa kufundisha kwenda kwenye vitendo?????

Back 2007 in my economics class form 5. mwalimu alitwambia kuwa kuna factor 3 za production.
land,capital,Labour . alisema kuwa capital ndo the most scarce resource of all 3.

Baada ya mimi kukuwa na kujisomea somea mwenyewe nilikuja gundua kuwa actualy zipo 4. ya nne ni entreprenuarial skillls. na kwamba hyo ndo the most scarce resource of all. hiz skills za ujasiriamali si kama kusoma historia, ni born with na kiukweli tunazaliwa nazo wachache.
 
  • Thanks
Reactions: Bon
haha hahaaaa
nawapenda wale wanaofundisha kutengeneza sabuni, chaki, shampoo, mishumaa n.k

lolz .. wanafundisha hao, na wanakuaminisha kabisa uwezekano wa wewe kufungua kiwanda. Mwangalie mwalimu sasa,,,, utachokaaa
 
Back
Top Bottom