Old Member (Retired)
JF-Expert Member
- Sep 29, 2012
- 3,401
- 1,610
Hata PADRE anafundisha kuhusu ndoa na yeye hana NDOA........Sikiliza unachofundishwa na sio kuangalia mfundishaji anafanya nini!
Ngoja waje wakujibu.
Hata PADRE anafundisha kuhusu ndoa na yeye hana NDOA........Sikiliza unachofundishwa na sio kuangalia mfundishaji anafanya nini!
Dhana ya ujasiliamali ni pana sana na wenye tunaweza kuwachukulia kama intrapreneurs yaani mtu ambaye anafanya mambo kijasiliamali japokuwa kaajiriwa ama anafanya kazi kwenye firm ya mtu mwingine
cc dr.slaa
Si mara zote, ila mara nyingi unakuta mtu anayefundisha na kuhamasisha wenzien wasitegemee ajira bali wawe wajasiriamali unakuta yeye hana hata genge la nyanya, hivi ni kwanini wadau? au ndio fata ninayokwambia usifate ninayotenda.
Ukienda chuo kikuu cha dar es salaam kuna wahadhiri wengi na wazuri hasa kwenye kufundisha lakini wao hamna wanachotegemea kuwaingizia pesa zaidi ya ajira, nafaham ni dhahiri kuwa wote hatuwezi kuwa wajasiriamali lakini kwanini watu hawa hawabadilishi ule uwezo wa kufundisha kwenda kwenye vitendo?????