Kwanini wanaomchukia Mwendazake wengi wao ni watu wa Pwani na Zenji?

Yes.... Watu wa Pwani asilimia kubwa ni Wavivu, wanapenda kukaa kwenye vibaraza kuliko kazi.... Point yako ina make sense
Ushasikia watu wa Pwani wamepata njaa hawana chakula?
Hii nadharia ya uvivu kwa watu wa Pwani sio ya kweli. Eti wavivu......Magufuli aliokuwa anawatumbua wale wote ni wa Pwani?
Kimara kote alikowavunjia nyumba wakamchukia ni watu wa Pwani?
Haya nanyie kufeni basi mumfate baba yenu.
 
Hata nyumbani kwenu, ukiwa mvivu haimaanishi nyumba nzima mtakufa njaa, wapo ambao watakaoleta msosi tu. Pwani inalishwa na mikoa ya Bara, wafanyabishara wengi pwani ni watu wa bara.... Watu wa Pwani wengi wao wanamiliki nyumba tu ambazo huzipangisha ili ziwaendeshee maisha
 
Huyo ibilis
 
Alikuwa hovyo mno sema watanzania wengi viwango vyao ni vidogo mno ndio maana kuna wanamwona ni mzuri.
Ukiona mtu anampenda magufuli kama sio shoga basi hajasoma
 
Yes.... Watu wa Pwani asilimia kubwa ni Wavivu, wanapenda kukaa kwenye vibaraza kuliko kazi.... Point yako ina make sense
Hoja za kibaguzi hazina maana hakuna society ambayo ni bora kuliko nyingine kila jamii ina social values zake na ndio maana Rio de janeiro kucheza samba na ngoma barabarani kwa misururu ni tamaduni zao tu na watu wanasafiri kwenda kuangalia ,jamii hazitafanana hata siku moja hivyo kila mtu aheshimu ya kwake na akae navyo vya kwake bila kuathiri uhuru wa wengine.
 
Kwanza unafahamu maana ya neno "uchwara?" Kwa kukiri kuwa utafiti wako ni wa uchwara, umehasisisha na kudunisha hoja yako.
 
Ulige ulige iwee.

Miaka 6 bila nyongeza za mishahara Kwa watumishi,nao walikaa vibarazani?

ACHA Mungu aitwe Mungu.
Mama kaongeza 6800 kwa sisi wenye mshahara wa zaidi ya m 2.
Sasa si ni bora Magufuli hakuongeza na alitoa sababu za kwanini haongezi
 
Kwanza unafahamu maana ya neno "uchwara?" Kwa kukiri kuwa utafiti wako ni wa uchwara, umehasisisha na kudunisha hoja yako.
Afadhali umeamua kuwasaidia hawa vilaza wenye chuki zao na watu wa pwani. Kimsingi uwepo na hilo neno maana yake hii mada haipaswi kuhangaikiwa na wenye akili zaidi ya wale haters wenyewe.
 
Pwani hulishwa na bara😀😀😀
Pwani ipi inayolishwa na bara? Labda visiwani ambapo hakuna ardhi nzuri ya kilimo.
Tatizo mkizungumzia Pwani mnaiona Dar tu. Kama Pwani inalishwa na bara kuna tatizo gani kama pesa ipo? Si wananunua kwa pesa zao? Kaeni na ndizi zenu Bukoba huko tuone kama hamjapiga nazo picha. Dar ni mji wa kila mtu, kila kabila, kila asili na watu wote.
Ni kawaida kwenye miji mikubwa yote wazawa kusogea kando.
Ushafika na mikoa mingine mingapi?
 
Aliteleza sehemu gani kama binadamu?
 
Ukipangiwa kufanya kazi na watu wa Zanzibar, Tanga au Pwani inabidi uweke 'ubara' pembeni, hao jamaa ni don't care, kazini wanaingia saa 3, saa 4 wanakunywa chai, wewe ukipamba kufanikisha jambo au kazi wao ndio kwanza wanataka kwenda kusali saa 7, wakirudi ni lunch, wanapiga stori saa 1 then saa 9 wanataka kurudi nyumbani. Ukiwa mtu wa Hapa kazi tu lazima wakuchukie
 
Ukienda Roma fanya wafanyayo waroma!
 
Kama anayemchukia mwendqzake sio kutoka Chadema, huyo ni mwizi.
 
kwa wale wahenga, wasome baadhi ya beti katika shairi la SADIKI NA FIKIRI

Baaadhi ya maneno yalikuwa yanasema SADIKI MIMI MASIKINI.....desh desh KWETU NYUMBANI

Sasa hiyo DESH DESH
 
Kaka una ushahidi?
 
Walio mchukia huyo MTU Ni chadema wote, Arusha yote, Kilimanjaro ukiondoa wapare na watu wa Kimara mbezi Kibamba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…