Kwanini wanaomchukia Mwendazake wengi wao ni watu wa Pwani na Zenji?

hata mimi namchukia na sipendi kumsikia kabisaaa...kwa sasa nipo geita mkuu😂😂
 
Je uliwahi kusikia yeye amekataa posho zake, Ili awe mfano uvumilivu?
Je aliwahi kuwanyima posho za michongo mawaziri wake na vigogo wake na kuwataka wavumilie?
Bei za pembejeo kubwa, shamba hamna, mitaji hamna, NGOs zikapigwa chini, iyo kauli ya hapa kazi tu inakuaje?
Magu Bora alikufa tu.
Ila sijasema bi Sami ni Bora kuliko Magu
 
Watu km hawa wana ufikiri mdogo..hawazijui Hesabu.
 
Mimi nipo nyandaza juu kusini na moja ya viongozi ambao sikuwahi wapenda ni huyu jamaaa yani sitaki hata kumsikia . Hivyo point yangu siyo watu wa zenj na pwan ndyo wanamchukia
 
Kwani makaburu walitufanyia ubaya gani?
 
Kwa sababu ni wazembe wa kuchapa kazi na kufikiria. Wadini. na wabinafsi , Muda wote wanawaza kuiba tu
 
Sikupingi Boss... umemaliza point zangu zote.

Wachizi wavivu ni baraa
 
Sasa wewe hapo Pwani unalima nini... Labda ukavue kambale mtoni, udongo wenyewe hauna rutuba
 
Tofautisha Utamaduni na Uvivu... Samba ni utamaduni, Uvivu sio Utamaduni, Uvivu ni hulka
 
Ukiona mtu anampenda magufuli kama sio shoga basi hajasoma
Wewe Elimu yako kiasi gani? Kina kabudi na maprofesa na wanamuelewa mwamba alafu unatokea wewe choko unaongea ushubwada
 
Pwani wapi? Magufuli anaongoza kupendwa mikoa ya pwani kuliko hata Mkapa na mwinyi....Raisi asiyependwa mikoa ya pwani ni Nyerere tu.


Fanya tafiti japo Zanzibar sijafika ila pwani kote Magufuli ndio mwamba wanamuelewa sana.
 
Yes.... Watu wa Pwani asilimia kubwa ni Wavivu, wanapenda kukaa kwenye vibaraza kuliko kazi.... Point yako ina make sense
Dogo hauna exposure ? Jaribu kutembea au teseme yale tuba experience kutoka kwenu ?😅
 
Sio kweli napinga asilimia 100 hakuna kitu kama hicho ni porojo.
 
Acha uongo hakuna mtu mvivu ni nadharia sawa na kusema wahaya wananuka midomo kama ilivyo ni nadharia ..

Ninafanya kazi hapa na watu tofauti mimi nawahi na watu wa karibu tunatoka mikoa ya pwani ila nyie wengi kiburi na ushamba kuleta ubishi ....Principal anatuelewa ila wahaya na wengine wengi hovyo kabisa ubishi kazi hawataki kujifanya ujuaji...

Sisi watu wa pwani hatuna noma hata shobo ni watu tuko bussy na kujielewa .
 
Wewe Elimu yako kiasi gani? Kina kabudi na maprofesa na wanamuelewa mwamba alafu unatokea wewe choko unaongea ushubwada
Kabudi ana elimu gani family law si sociology hizo.msomi unasema ulitolewa majalalani
 
Lussu kwao pwani ya singidani au kindai?
Lissu yeye si mwanasiasa wa chama pinzani... Lazima kuwe na ligi baina yao kwa sababu wote wanataka urais... Lakini Lissu mwenyewe juzi kati alisema kuwa anamkubali Magufuli kwenye baadhi ya mambo juu ya uvivu na ufisadi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…