Kwanini wanaomchukia Mwendazake wengi wao ni watu wa Pwani na Zenji?

Lissu yeye si mwanasiasa wa chama pinzani... Lazima kuwe na ligi baina yao kwa sababu wote wanataka urais... Lakini Lissu mwenyewe juzi kati alisema kuwa anamkubali Magufuli kwenye baadhi ya mambo juu ya uvivu na ufisadi
Chadema wanatokea pwani ya mlima kilimanjaro.
 
Huo utafiti wa uongo na huna facts wala data za kutosha, watu wanaomchukia zaidi mwendazake ni watu wa kutoka kaskazini yaani watu wa arusha na Kilimanjaro kwingine utakuwa umewaonea tu rudia utafiti wako vizuri, au pitia comment za watu utawaona.
 
HISTORIA NA UKWELI UKO PALE PALE:
AWAMU YA KWANZA-IMARA
AWAMU YA PILI-DHAIFU
AWAMU YA TATU-IMARA
AWAMU YA NNE-DHAIFU
AWAMU YA TANO-IMARA SANA
AWAMU YA SITA-DHAIFU ZAIDI
 
Watu wa pwani na bara utawatofautisha kwa vyama vyao. Jiulize utafiti wako kama uliongizwa kwa vigezo au hisia.

Nani wanamtaja kwa Ubaya magufuli hadi leo kati cha chadema na ACT, cuf.

Je chadema kimekuwa ni chama cha watu wa pwani.

Nikupe ukweli watu wa pwani hawamtaji kwa uzuri rais wa kwanza na wala si Magufuli. Huku chadema wakimtaja rais wa kwanza kwa uzuri na si kwa magufuli
 
Sasa wewe hapo Pwani unalima nini... Labda ukavue kambale mtoni, udongo wenyewe hauna rutuba
Pwani ipi yenye udongo usio na rutuba?
Pwani ni jina tu yenye maana ya coastal zone.....wilaya za mkoa wa Pwani ni Mafia, Rufiji, Kibiti, Mkuranga, Kisarawe, Bagamoyo, Kibaha na Chalinze. Tukuulize, ni wapi kuna njaa katika maeneo hayo kisa watu hawalimi?
Maeneo yote hayo yana stawi mihogo, mpunga, mahindi, minazi, migomba, viazi vitamu na viazi vikuu, mikorosho, matunda kama mafenesi, maembe, machungwa, ndimu, mananasi n.k wao wanajilimia as a subsistence economy as food tu chakula cha kawaida, miaka inaenda.
Na Pwani haina mito ya kutosha kuvua kambale. Mtu wa pwani hasaaa humlishi kambale.....ni kama chura.
Ipo bahari inayo mazao muruwa kabisa changu, kolekole, ngisi, pweza, pono, kibua, mkizi, jodari....watakani?
Unavyosikia Pwani unadhani ni pale ferry?
Fungua ubongo huo or die a bogus.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…