GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mhhh, hii kali. Na kama ni kweli, mtu atajuaje kwamba hii gari imenunuliwa yadi au imeagizwa, kwani kuna namba maalumu za magari ya yadi na yale ya kutoka nje?Wenyewe wanasema kuna Raha yake Kuliagiza Mwenyewe kutoka Mamtoni ( Majuu ) kuliko Yule ambaye anaenda Kununua Yard tena na Fundi wake kabisa Ili Kubahatisha lililo zuri na salama.
Haya mlio na Magari yenu mliyoyaagizia kutoka Majuu na mliyonunua hapa hapa Yards za Tanzania tafadhali karibuni mtupe Mrejesho na Uzoefu wenu japo nikiri tu kama Mleta ( Mtoa ) hii Mada GENTAMYCINE kuwa sina hata hilo Gari lenyewe, Pikipiki na Baiskeli achilia mbali Guta ila napenda kuona mnavyotambiana / mtakavyotambiana hapa.
File si linajielezaMhhh, hii kali. Na kama ni kweli, mtu atajuaje kwamba hii gari imenunuliwa yadi au imeagizwa, kwani kuna namba maalumu za magari ya yadi na yale ya kutoka nje?
Hivi gari LA kipanya liliishia wapi?!Gari la kipanya linapatikana kwa shilingi nhapi
Gari ya yard inakuwa mkweche. Yaani iko hivi:-Wenyewe wanasema kuna Raha yake Kuliagiza Mwenyewe kutoka Mamtoni ( Majuu ) kuliko Yule ambaye anaenda Kununua Yard tena na Fundi wake kabisa Ili Kubahatisha lililo zuri na salama.
Haya mlio na Magari yenu mliyoyaagizia kutoka Majuu na mliyonunua hapa hapa Yards za Tanzania tafadhali karibuni mtupe Mrejesho na Uzoefu wenu japo nikiri tu kama Mleta ( Mtoa ) hii Mada GENTAMYCINE kuwa sina hata hilo Gari lenyewe, Pikipiki na Baiskeli achilia mbali Guta ila napenda kuona mnavyotambiana / mtakavyotambiana hapa.
Gari la kipanya linapatikana kwa shilingi nhapi
Hivi gari LA kipanya liliishia wapi?!
Kununua Gari Show room kuna Faida kubwa zaidi ya kuagizaWenyewe wanasema kuna Raha yake Kuliagiza Mwenyewe kutoka Mamtoni ( Majuu ) kuliko Yule ambaye anaenda Kununua Yard tena na Fundi wake kabisa Ili Kubahatisha lililo zuri na salama.
Haya mlio na Magari yenu mliyoyaagizia kutoka Majuu na mliyonunua hapa hapa Yards za Tanzania tafadhali karibuni mtupe Mrejesho na Uzoefu wenu japo nikiri tu kama Mleta ( Mtoa ) hii Mada GENTAMYCINE kuwa sina hata hilo Gari lenyewe, Pikipiki na Baiskeli achilia mbali Guta ila napenda kuona mnavyotambiana / mtakavyotambiana hapa.
Hujaandika chochote.Kununua Gari Show room kuna Faida kubwa zaidi ya kuagiza
Miaka minne ni kidogo sana kwa gari....Mimi nina Gari nilinunua 2009 (Zaidi ya Miaka 13 sasa) kutoka Japanese Vehicles - limepiga sana rooutes za Mikoani na Nje ya nchi (hapa kwa majirani zetu) - lakini engine sijawahi kuigusa na iko vilevile kama ilivyokuja. Hiyo ndio heshima ya magari ya kuagiza moja kwa moja na kama ulipata grade nzuri.Nna Carina Ti huu mwaka wa nne Sasa, na nilinunua showroom za hapahapa,
Mi naona hakuna tofauti