Kwanini wanaoruhusiwa kuchinja ni Waislamu peke yao?

Mimi siiti msikiti kuchinja nachinja mwenyewe eti ukichinja umpe firigisi kam nikikwalika usipokula basi utakunywa maji
 
I will always stand to be corrected as I always try to learn, ila naomba unifahamishe tu hiyo understanding dalili yake ni ipi?

Mimi kwa uelewa wangu pamoja na majority ya maulamaa as much as I know (Allah knows best) ni hivo malaika they only obey what they have been comanded, freewill is on action not reasoning. However, again, I stand to be corrected provided there is evidence to back it up from Ulamaas.

Na kama unachokisema ni kweli na kimethibiti then it's a good thing that you've corrected me and I will always stand for the truth (bi'idhiniAllah)
 
Mimi siiti msikiti kuchinja nachinja mwenyewe eti ukichinja umpe firigisi kam nikikwalika usipokula basi utakunywa maji
Hao jamaa hawana ustaarabu,wewe ukiwa fair wao hiyo fairness hawana wanachojali ni ushindi tu,kuwajali ni kumpigia mbuzi gitaa.
 
Hata kiti moto? sababu kuu wakichinja wakristo waislamu wamefundishwa kususia. ili wasisuse wakristo huwa wanawapaga hao jamaa wachinje hivo vitowewo kwa minajili ya kula wote. Hasa kama ni bidhaa ya kibiashara.
Alaa kumbe huwa wanaitwa kuchinja white paper!
 
Kasome vizuri bandiko langu utaelewa na ujibu kutokana na bandiko lile sio kuleta hoja za kidini. Asante
 
Tatizo lako ni kujifanya unafahamu mambo kumbe badooo kabisa yani
 
Wanapenda kula kula.
Hasa Wali na Nyama.

Hiyo ni moja ya mbinu yao ya kula bure.
 
Ni utamaduni tu kwa sababu tupo mchanganyiko sana ila hakuna sheria ya kulazimisha hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…