Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Ukweli ni kwamba watu wanapata uponyaji, wakristu kwa waisilamu. Sasa kama kuna management katika kutoa ushuhuda, hilo ni suala lingineMkuu ile inaitwa Stage Managed, yaani Kwenye Mikutano ya Jamaa wale wabao toa shuhuda ni watu kutoka sehemu nyingine kabisa.