Kwanini wanaoteseka na matokeo ya Yanga wengi wao ni mashabiki wa Simba?

Kwanini wanaoteseka na matokeo ya Yanga wengi wao ni mashabiki wa Simba?

Christopher Wallace

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2015
Posts
1,479
Reaction score
3,788
Yanga jana kafungwa 2-1 na Costal Union. Lakini cha kushangaza ni kuwa wanaoteseka zaidi na matokeo hayo ni mashabiki wa Simba. Hii inashangaza kwa kweli. Lakini kwakuwa Mungu sio Athumani, kesho El Mareikh watatufuta machozi najua.
 
Sasa Simba wateseke na nini kwetu sisi ni sherehe tu, coast kang'oa silidi kikatili sasa mtaliwa mpaka na vichaa[emoji1787]

El marek kapiswa na vita alafu unategemea mtafutwa machozi?
 
Yanga jana kafungwa 2-1 na Costal Union. Lakini cha kushangaza ni kuwa wanaoteseka zaidi na matokeo hayo ni mashabiki wa Simba. Hii inashangaza kwa kweli. Lakini kwakuwa Mungu sio Athumani, kesho El Mareikh watatufuta machozi najua
IKUMBUKWE & KUMBUKIZI

SIMBA ilipoifunga Coast goli 7

Yanga walisema *tumepiga bomu monchwari

*Leo vipi tuseme ~__*COAST kapiga bomu kaburini*_
_~
Naomba uwatumie Utopolo huko waliko#
Tatizo utopolo wanajifanya wasahaulifu baada ya mwiko kutenguliwa!
Tulieni sindano inyong'onyee taratibu msikilizie utamu wake!!
 
Hivi yanga na simba nani anayeteseka kwa mwenzake.

Mlianza kwenda airport kupokea timu pinzani ambazo hata haziwajui.

Siku Simba anacheza na alahly mkajifanya waarabu mwisho wa siku mkatoka vichwa chini.

Kabla ya Simba kucheza na as vita na alahly mlianzisha nyuzi zaidi ya 50 kuiponda Simba nyuzi ambazo baadae mlizikimbia.

Eymael hakukosea alipowaita uneducated mnabweka kama mbwa mko kama manyani.
 
Renzo huna nguvu za kimaadili (moral authority) ya kusema hayo unayosema! Labda nikusahihishe kidogo: ulipaswa kusema wanafurahia zaidi siyo wanaoteseka zaidi na matokeo ya Utopolo! Na wanaiponda zaidi utopolo kutokana na matokeo yake! Umesahau utopolo mlivyokuwa mnaiponda simba na kuiombea ifungwe 5-0 ndani nje!!

Na kila aliyeiponda simba ulikuwa mstari wa mbele kumuunga mkono. Wewe mwenyewe ulikuwa unaanzisha nyuzi nyingi tu za kuiponda simba! Ulikuwa mstari wa mbele kuponda kila aliyesajiliwa na simba! Japo mwisho wa siku ulikuwa unaishia kuanika na kuzikimbia nyuzi zako mwenyewe!!

Ngoja nikuletee baadhi ya post zako kuonesha ulivyokuwa wa hovyo kimtazamo na siku zote uliangukia pia na kutoka!! Ila na hapa usitoroke! Moja yako hii hapa:

Renzo post:

Akiongea leo asubuhi katika kipindi cha michezo cha Efm mchambuzi nguli wa mpira Jeff Lea asema kwa safu ile ya ulinzi wa Simba dhidi ya Dodoma Jiji jana, mabeki wao wameonesha udhaifu mkubwa sana hivyo kama watakutana na timu yenye washambuliaji wazuri basi hawatafiki mbali katika ligi ya mabingwa Afrika.

Mimi namuunga mkono kwa 100% kwa mbaaaali naona mtu akienda kuchezea goli 5 kwa kila mechi ya ugenini.

Msijenge chuki, fanyieni kazi mapungufu yenu Simba
Ni kam
 
Renzo post:
Renzo post yako nyingine ya kuponda
usajili wa simba halafu baadaye unalazimika kufunga kinywa na kutoroka uzi wako mwenyewe ni hii hapa:
Kwa msimu wa pili mfululizo Simba Sc wanasajili mchezaji idara ya Kiungo kwaajili ya mechi za kimataifa halafu anakuwa galasa!

Wote ni mashahidi mnamkumbuka yule Msudan Sharif El Din "Mhogo Mchungu" alivyokuja kuwa flop. Sasa ni zamu ya kiungo wa Kizambia, Rally Bwalya nae alikuja kwa mbwembwe nyingi ila ameishia kuwa flop. Hajakidhi yale matarajio makubwa ya wapenda kandanda!

Klabu ya Simba ifike wakati wabadilike, badala ya kusajili magarasabya kigeni kwa bei nyingi ni heri wawape nafasi wazawa tu! Huwezi ukamnunua mchezaji kwa bei kubwa halafu mechi kama ya juzi ya Plateau anawekwa benchi na mchezaji mzawa kama Mzamiru Yassin!

Ni hayo tu, povu ruksa!
 
Yanga jana kafungwa 2-1 na Costal Union. Lakini cha kushangaza ni kuwa wanaoteseka zaidi na matokeo hayo ni mashabiki wa Simba. Hii inashangaza kwa kweli. Lakini kwakuwa Mungu sio Athumani, kesho El Mareikh watatufuta machozi najua
Ulitegemea Vita waifunge simba, haikutokea ukaaibika na kutoroka kwenye uzi. Baadaye ulitegemea Al Ahly wataifunga Simba, na ukashabikia uchambuzi uharo wa bin Leah kuwa hata Mungu hawezi kuisaidia Simba bele ya Al Ahly!! haikuwa hivyo na huyo mwamba wenu si tu alifungwa, bali alizidiwa kila idara na kocha wao akakiri hivyo na kutoa kisingizio cha hali ya hewa!

Sasa hivi matumaini umeyapeleka kwa El mareikh wakufute machozi( yaani umeshindwa hata kuyaficha machozi yako)! Pole! Machozi yataongezeka na huenda ukapotea jumla jamiiforums!! Post yako ya kuiwangia Simba hii hapa:

Renzo post:
Kwa msimu wa pili mfululizo Simba Sc wanasajili mchezaji idara ya Kiungo kwaajili ya mechi za kimataifa halafu anakuwa galasa!

Wote ni mashahidi mnamkumbuka yule Msudan Sharif El Din "Mhogo Mchungu" alivyokuja kuwa flop. Sasa ni zamu ya kiungo wa Kizambia, Rally Bwalya nae alikuja kwa mbwembwe nyingi ila ameishia kuwa flop. Hajakidhi yale matarajio makubwa ya wapenda kandanda!

Klabu ya Simba ifike wakati wabadilike, badala ya kusajili magarasabya kigeni kwa bei nyingi ni heri wawape nafasi wazawa tu! Huwezi ukamnunua mchezaji kwa bei kubwa halafu mechi kama ya juzi ya Plateau anawekwa benchi na mchezaji mzawa kama Mzamiru Yassin!

Ni hayo tu, povu ruksa!
 
Pole Renzo, utalazimika usubiri tu sindano iwaaingie utopolo taratibu baadaye mtazoea maana hao polisi Wanadondosha mate wakiwasibiri kwa hamu Arusha.
 
Pole Renzo, utalazimika usubiri tu sindano iwaaingie utopolo taratibu baadaye mtazoea maana hao polisi Wanadondosha mate wakiwasibiri kwa hamu Arusha.
Na kwa vile wanajua ile lakiri imetolewa hivyo haihitaji nguvu kubwa,wao wenyewe watapanua miguu na wakisindikiza kwa kibwagizo tia yoteeeee
 
Back
Top Bottom