johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Au swali liwe kwa nini wanawake wa kichaga wanapenda kuolewa na wanasiasa maarufu? Na jibu lake ni kuwa wanawake wa kichaga wanajua kunusa na kulenga kwenye fursa.Fanya tu Utafiti kuanzia Enzi za akina Oscer Kambona hawa akina Mkapa na Warioba uje hadi kwa akina January na Nchemba PhD kisha malizia kwa akina Gambo, Kikeke na Mwijaku
Wanawake wa Kichagga wana Siri gani maana hata Nelson Mandela alisahau viatu vyake kwa mama Swai
Samahani lakini ๐ผ
Hakuna mwanamke asiye mchungaji ni kutofautiana tuu kiwango,Wanajua kuchuna na kuwekeza katika familia.
Mapenzi kwao sio kipaumbele.
Hakuna kitu km hiko, wanajua uvumilivu hao kina dada na kujibidiisha kwenye kutunza ndoa otherwise ukutane na wachache wasio na matakwa na ndoaAu swali liwe kwa nini wanawake wa kichaga wanapenda kuolewa na wanasiasa maarufu? Na jibu lake ni kuwa wanawake wa kichaga wanajua kunusa na kulenga kwenye fursa.
Nimecheka.Au swali liwe kwa nini wanawake wa kichaga wanapenda kuolewa na wanasiasa maarufu? Na jibu lake ni kuwa wanawake wa kichaga wanajua kunusa na kulenga kwenye fursa.
Hilo la tatu lina mashiko. Kuna wengi wamevuna mitaji kutoka kwa wakwe.Wanawake wa kichaga wana advantage nyingi kwenye soko la ndoa.
1. Elimu, wanawake wa kichaga wengi sana wanasomeshwa na wazazi wao elimu nzuri. Mfano ukienda udsm leo ukachukua wanawake wote wanaosoma pale na kuwagawa kwa makabila yao. Wanawake wa kichaga watakuwa wengi kuliko makabila mengine.
2. Weupe wao unawafanya waonekane wazuri. Wanaume wengi wanavutiwa na uzuri wao
3. Familia wanazotoka sio maskini maskini. Wanaume wengi hawapendi kuoa wanawake maskini kwao.
Wanawake wa kichaga wana advantage nyingi kwenye soko la ndoa.
1. Elimu, wanawake wa kichaga wengi sana wanasomeshwa na wazazi wao elimu nzuri. Mfano ukienda udsm leo ukachukua wanawake wote wanaosoma pale na kuwagawa kwa makabila yao. Wanawake wa kichaga watakuwa wengi kuliko makabila mengine.
2. Weupe wao unawafanya waonekane wazuri. Wanaume wengi wanavutiwa na uzuri wao
3. Familia wanazotoka sio maskini maskini. Wanaume wengi hawapendi kuoa wanawake maskini kwao.
Niongeze na mimi Ngongo nimevuta Mke wa kichagga.
Mbona mimi ni mwanasiasa mkongwe na maarufu lakini sijawahi kuwa na mke mchagga katika wake zangu wote wa4Fanya tu Utafiti kuanzia Enzi za akina Oscer Kambona hawa akina Mkapa na Warioba uje hadi kwa akina January na Nchemba PhD kisha malizia kwa akina Gambo, Kikeke na Mwijaku
Wanawake wa Kichagga wana Siri gani maana hata Nelson Mandela alisahau viatu vyake kwa mama Swai
Samahani lakini ๐ผ
mwijako nae kawa mwanasiasa maarufu?Fanya tu Utafiti kuanzia Enzi za akina Oscer Kambona hawa akina Mkapa na Warioba uje hadi kwa akina January na Nchemba PhD kisha malizia kwa akina Gambo, Kikeke na Mwijaku
Wanawake wa Kichagga wana Siri gani maana hata Nelson Mandela alisahau viatu vyake kwa mama Swai
Samahani lakini ๐ผ
Nasikia kuna wanaume wanaogopa wanawake wasomi ?Wanawake wa kichaga wana advantage nyingi kwenye soko la ndoa.
1. Elimu, wanawake wa kichaga wengi sana wanasomeshwa na wazazi wao elimu nzuri. Mfano ukienda udsm leo ukachukua wanawake wote wanaosoma pale na kuwagawa kwa makabila yao. Wanawake wa kichaga watakuwa wengi kuliko makabila mengine.
2. Weupe wao unawafanya waonekane wazuri. Wanaume wengi wanavutiwa na uzuri wao
3. Familia wanazotoka sio maskini maskini. Wanaume wengi hawapendi kuoa wanawake maskini kwao.
Ulimbukeni wa wanaume wengi kwa hawa wanawake ndo maana mwisho wasiku wanachezea za uso tu.Wanawake wa kichaga wana advantage nyingi kwenye soko la ndoa.
1. Elimu, wanawake wa kichaga wengi sana wanasomeshwa na wazazi wao elimu nzuri. Mfano ukienda udsm leo ukachukua wanawake wote wanaosoma pale na kuwagawa kwa makabila yao. Wanawake wa kichaga watakuwa wengi kuliko makabila mengine.
2. Weupe wao unawafanya waonekane wazuri. Wanaume wengi wanavutiwa na uzuri wao
3. Familia wanazotoka sio maskini maskini. Wanaume wengi hawapendi kuoa wanawake maskini kwao.
Urembo na IQ kubwa.Fanya tu Utafiti kuanzia Enzi za akina Oscer Kambona hawa akina Mkapa na Warioba uje hadi kwa akina January na Nchemba PhD kisha malizia kwa akina Gambo, Kikeke na Mwijaku