Wachaga ni jamii iliyoanza kupeleka watoto wa kike shule mapema sana so walikua wanakutana masekondarini na vyuoni, so kijana anakulia shule technically hawezi kurudi kijijini kwao kuoa! Atapata mchumba na hatimaye mke aliyekuwa anasoma naye au walikutana umiseta, disco la shule jirani za boys na gals, au kwnye treni (TRC) wakiwa na warrant zao wanakwenda likizo! Zamani ilikuwa ngumu sana kukuta mabinti wa makabila mengine elimuni, wengi waliishia la saba na fomfoo ila wa kichaga walisonga zaidi!
Wala sio sayansi ngumu saaaana, wakongwe tuliioa wachaga tunajua haya!😀