Busu la Kenge
JF-Expert Member
- Jun 13, 2025
- 2,583
- 4,776
Inaonekana kabla ya kuposti huu uzi amefanya tafiti Na ufuatiliaji. Ulipomaliza tu faster jamvini.Fanya tu Utafiti kuanzia Enzi za akina Oscer Kambona hawa akina Mkapa na Warioba uje hadi kwa akina January na Nchemba PhD kisha malizia kwa akina Gambo, Kikeke na Mwijaku
Wanawake wa Kichagga wana Siri gani maana hata Nelson Mandela alisahau viatu vyake kwa mama Swai
Samahani lakini πΌ
Vipi kipenzi chako?
Wanakufa mapema
Lipumba kaowa lini?Lipumba nae hakukaa nyuma
Wanajua kubembeleza huku wakikudanganya kwa mapenzi motomoto kama vile hakuna tena mwingine zaidi yako π !Fanya tu Utafiti kuanzia Enzi za akina Oscer Kambona hawa akina Mkapa na Warioba uje hadi kwa akina January na Nchemba PhD kisha malizia kwa akina Gambo, Kikeke na Mwijaku
Wanawake wa Kichagga wana Siri gani maana hata Nelson Mandela alisahau viatu vyake kwa mama Swai
Samahani lakini πΌ
Hahaha umenifanya nicheke Kwa Sauti.Vipi kipenzi chako?
Hao ndio watu wa kuoa kama unataka mambo yako yaende vizuri huku wewe ukifanya mambo mengine makubwa.Fanya tu Utafiti kuanzia Enzi za akina Oscer Kambona hawa akina Mkapa na Warioba uje hadi kwa akina January na Nchemba PhD kisha malizia kwa akina Gambo, Kikeke na Mwijaku
Wanawake wa Kichagga wana Siri gani maana hata Nelson Mandela alisahau viatu vyake kwa mama Swai
Samahani lakini πΌ
Haswa.ππ
Wewe ni mwana siasa?
Kipenzi chetu Hussain Ali akiutetea π₯Ί πHahaha umenifanya nicheke Kwa Sauti.
Mcheki hapo Chini kwenye tukio la kupendeza mwamba kipenzi chetu cha dhati Imam Hussain ibn Ali AS akimkumbatia kijana wake mpendwa Ali Al-Sajjad baada yakurejea kutokea vitani battle of Ashura.
View attachment 3433568
Vincenzo Jr Monetary doctor adriz Nyonzo bin mvule Al-mukheef Wakilli Intelligent businessman
Ok ni kheri haumtukani Swahaba unamsifia tu , hapo hakuna shida yeyote nafurahi kuona Galatians wanasifi na hawatoi matusiHahaha umenifanya nicheke Kwa Sauti.
Mcheki hapo Chini kwenye tukio la kupendeza mwamba kipenzi chetu cha dhati Imam Hussain ibn Ali AS akimkumbatia kijana wake mpendwa Ali Al-Sajjad baada yakurejea kutokea vitani battle of Ashura.
View attachment 3433568
Vincenzo Jr Monetary doctor adriz Nyonzo bin mvule Al-mukheef Wakilli Intelligent businessman
Hahahahah!! MarassMbuss Mongo ! post zako wiki hii zimefutwa sana juzi kule kwenye kwenye Uzi wa Wakorea wamefyeka na Leo Uzi wako niliuripoti mods wamefuta .Hahaha umenifanya nicheke Kwa Sauti.