Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zenji ni wachache
Wewe nae,dhiki ya bongo utafananisha na zenji?? Hata siku moja watu hawali ugali usiku kama ilivo bongo mchana ugali usiku ugali vitu vipo bei juu lakini wananunuwa watu wao wengi wapo majuu hamna familia ambayo haina mtu nnje ndio ufananishe na nyinyi watu wamikoani watembeza mabakuli Dar?? Nenda kipindi hichi kwenye mijiyao ujionee number ya westerners..Acha chuki bro, hawapangi chumba kama ilivo bara nyumba vyumba sita kila mtu na chumba chake choo kimoja.We zanzibar ushafika yani daladala za kule Kila mtu anachagua PA kushuka na zinasubiria abiria mpaka amalize kuoga.
Wale wamelizika mpaka maduka wanafungua wanavotaka yani akipata laki tu kesho kaoa
Urojo umekuaribu mpaka makalio Yana amua kutumia akili kukuongozaWewe nae,dhiki ya bongo utafananisha na zenji?? Hata siku moja watu hawali ugali usiku kama ilivo bongo mchana ugali usiku ugali vitu vipo bei juu lakini wananunuwa watu wao wengi wapo majuu hamna familia ambayo haina mtu nnje ndio ufananishe na nyinyi watu wamikoani watembeza mabakuli Dar?? Nenda kipindi hichi kwenye mijiyao ujionee number ya westerners..Acha chuki bro, hawapangi chumba kama ilivo bara nyumba vyumba sita kila mtu na chumba chake choo kimoja.
Mbona matusi ushapanga vitu vyako hapo kariakoo na kupigwa na juwa ?? Au upo mkoani kusalimia wazee?? Wazanzibar hatuwawezi tukubali tu. Wewe mpaka karne hii watu wanaishi nyumba vyumba 6?? Choo kimoja.Urojo umekuaribu mpaka makalio Yana amua kutumia akili kukuongoza
Wananunulika mkuu ,sema kwa rate ndogo..nafuatilia tangu 1995 sijawahi kushuhudia wanasiasa wa Zanzibar wakinunuana kama wa huku Tanganyika.
Hamadi MASOUDWananunulika mkuu ,sema kwa rate ndogo
Ushahidi
1.Mwakilishi wa Jimbo la Mkunazini , Ndugu Msabaha 1995
2.Hamadi Rashid huyu qkaanzishiwa na chama kabisa
3.Aliyekuwa kiongozi wa Upinzani bungeni 1995-2000 Bi Fatma Maghimbi
4.Bi Jidawi...
Ila yote kwa yote wenzetu wana NAFUU
Hawa nawakumbukaWananunulika mkuu ,sema kwa rate ndogo
Ushahidi
1.Mwakilishi wa Jimbo la Mkunazini , Ndugu Msabaha 1995
2.Hamadi Rashid huyu qkaanzishiwa na chama kabisa
3.Aliyekuwa kiongozi wa Upinzani bungeni 1995-2000 Bi Fatma Maghimbi
4.Bi Jidawi...
Ila yote kwa yote wenzetu wana NAFUU